Jumuiya Ya Madaktari Wa Marekani Imetoa Majibu Ya Vyanzo Vya Cancer:-
1.Usinywe Chai Kwenye Vikombe Vya Plastic Kuanzia Sasa
2.Usile Chochote Chenye Moto Kilicho Ndani Ya Mfuko Wa Plastic Mfano...
msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?
Wakuu naomba kuuliza kama kuna vidonge asilia vya kutibu tatizo kutosikia vizuri, kama tiba hiyo ipo ni wapi naweza kuipata kwa jijini Dar, na vipi gharama ya yake hadi kupona?na ni dozi ya muda gani?
Nimehangaika sana, kiuno kinaniuma hata wakati mwingine siwezi kuinama, na kukaa inakuwa shida.
Madaktari wengine wananiambia ni nyonga imeshtuka, wengine damu chafu (ESR 30 MLS) dr mwingine...
habarini wakuu,
siku 3 nyuma nilienda hospital kupima nikakutwa na typhod na malaria 9. Sasa dr akaniandikia metakeflin na cypro mg 500.
Metakeflen nimemeza vyema lakini cypro nimemeza vidonge...
jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna...
habari! Wana jf Doctor
sijaelewa tatizo nini mpaka sana mimi nimeowa na mke wangu sasa ni mjamzito wa miezi nane na nusu siku zote huwa nafanya naye mapenzi bila kinga na tunaamiana wote...
Habari zenu wakuu, pole na majukumu na heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano ya hospital ya CCBRT, nina mgonjwa anatakiwa kutibiwa hapo ila makadirio ya gharama sijayapata...
Wakuu naomba msaada wenu siku za karibuni nimeandamwa na janga la usingizi mwingi usioisha yaani hata kama nikilala mchana lakini ifikapo saa 2 usiku naandamwa na usingizi hata siwezi kujizuia...
AFYA YA AKILI
Ni mjumuiko wa hali ya mtu kuwa vizuri kihisia, kisaikolojia na kijamii. Hii inahusisha jinsi ambavyo mtu anafikiria, anavyohisi,na jisi anavyotenda/kufanya mambo yake. Inamaanisha...
Mtoto mwenye umri wa miezi mitatu, mkazi wa Buza, Dar es Salaam amebainika kuwa mwathirika wa dawa za kulevya.
Mama wa mtoto, Zena maarufu Zerish, mkazi wa Yombo Buza alikiri kwamba alipata...
Habari zenu wanajamii doctor naomba kujua kama kunafaida yeyote ambayo unaweza pata baada ya kufanya ufuska au mapenzi ikiwa vijana wengi hupenda kufanya je ina faida yeyote kiafya?,thanx wadau...
Wadau inakuwaje nina addiction ya kushika maeneo ya siri kisha kunusa. Kira mala ninaweka mkono kunako uvunguni kwangu ninashika ute ute nanusisha puani nardhika. Hapo nyuma adiction ilikuwa pia...
mke wangu ana matatizo haya;
01- kutokwa na vipele ndani na nje ya "uke".
02- ki mkojo mkojo cha mara kwa mara kikiambatana na
maumivu wakati wa kukojoa na hauwi mwingi.
Ila hali hii...
Mke wangu ana matatizo haya;
kutokwa na vipele ndani ya UKE na kwenye mashavu,
kimkojomkojo cha mara kwa mara kikiambatana na maumivu,
ila tatizo hili hutokea mara tu baada ya kujamiiana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.