Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Unapotumia kitunguu maji kukikata usikibakishe ili kesho yake ukitumie tena. kile kitunguu Maji unacho kibakisha kinageuka Sumu na kinatengeneza wadudu wa sumu. Ukikitumia kile kitunguu Maji...
4 Reactions
23 Replies
12K Views
Nina umri wa 28 sasa,nina mchumba hatujaanza kuish pamoja. Tatizo langu ni kwamba hisia zangu za kimapenzi zipo karibu sana. Nikiwaza mapenzi kidogo tu uume unasimama na kutuliza inakuwa kazi...
2 Reactions
58 Replies
10K Views
Jamani kama kuna mwenye msaada naomba anisaidie mimi tatizo langu ni kwamba sipati effect yoyote nikitumia dawa yan dawa uwa naona ni kawaida tu na hazinitibu wala nini...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwenye ufahamu kuhusu dawa ya kukosa haja kubwa kwa mtoto wa mwezi mmoja na wiki mbili. Mana leo ni siku ya tatu hajapata haja kubwa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshma kwenu wakuu., naomben ushauri au hata tiba pale itapobidi. Ni wiki mbili sasa cousn angu anasumbuliwa na sumbuliwa na kuchubuka korodan pia uume umepooza(haujasimama) kwa wiki zote mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mkojo wa njano kupindukia, Mara nyingi nimejaribu kupata tiba katika hospitali tofauti tofauti bila mafanikio yoyote yale, tatizo bado lipo...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Mficha maradhi kifo umuumbua. Tar. 25 dec kwangu imekuwa ya majanga baada ya kuchepuka na mchepuko huo kuniachia maradhi na niliamua kuchepuka baada ya mwandani wangu kwenda kula xmass kwao. So...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bidhaa yetu nzuri ya asili iliyotengenezwa kwa matunda, mboga mboga na mimea mbalimbali toka pande nne za dunia, ikafanyiwa utafiti wa kina kwa miaka 4 sasa inaaminika na kupendekezwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
These days, everyone is “going green”, and indeed it’s high time! When it comes to food, green is definitely good for you. We’ve researched ten of the top green foods we would all do well to...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Heshima kwenu!mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nasumbuliwa na tatizo la chunusi kubwakubwa usoni nimejaribu kuuliza wataalamu wa masuala ya ngozi wakasema ngozi yangu ni ya mafuta hivyo...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Kuto Pata Hedhi Kwa Mwanamke Kwa Kipindi Cha Miezi 3 Ni Kawaida Toka Kujifungua? Tujuze Tafadhar Wenye Uzoefu Tutokwe Na Hofu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninamtoto ana miezi minne halafu nimeconcive tena.naomba ushauri je mtoto anaweza pata madhara
0 Reactions
1 Replies
931 Views
habar,kwa muda mrefu sasa ninakumbwa na tatzo kubwa sana hususa la kukohoa zen kwa baaday naishia kubanja ovyo ovyo hii imekua haibu kwang na naomba ushaur wenu kuhusu tiba yake
0 Reactions
6 Replies
12K Views
DR TAYE, Mtaalamu wa tiba asili, anadawa za nguvu za kiume na kuongeza uume saizi upendayo, dawa za kutoa makovu na madoa na mistali ya ngozi nakuwa soft. Dawa za kutoa uvimbe bila kupasua. Dawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomben msaada ndugu zangu baba yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Je una pharmacy jijini dar na unahitaji mtaalamu wa kukusaidia nipm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari,Ni nini sababu ya mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri. Uchafu huo ni kama mtindi.Na unaambatana na muwasho sehemu za siri. Je tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Msaada wataalamu
0 Reactions
24 Replies
45K Views
Back
Top Bottom