Wadau habari ya muda huu,naitaji kujua huu ugonjwa kwa undani kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu huu ugonjwa anijuze maana kinakopita nasikia kafa au anaugua cancer ya kizazi
Brief on it...
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu...
habari ya mapumziko wataalam.mimi natakakujua kuhusu infazone,nime meza leo namalizi cha 5,je nitege mee kushika mimba lini?
2:naona majimaji lakini yananukia vidonge,
je?nikawaida kwakua...
naomben msaada ndugu yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali...
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo...
Ni week ya pili sasa tangu mwanang Blesswell amezaliwa ila hataki kabisa kunyonya na tumempeleka hospt hana shida yeyote hata kidogo so tunampa maziwa ya ngo'mbe ambyo sio rasmi
naomba ushauri...
Samahani sana kwa usumbufu ndugu zangu naomba msaada wenu kama nilivyoandika hapo juu mm nasumbuliwa sana na tatizo la vichomi sijui tatizo lake nn na dawa yake ni nn jamani msaada wenu tafadhari.
kwa anayejua eusophagael tumour ni nn na wapi ninaweza kupata matibabu anisaidie jaman.baba yangu kaambiwa kuwa ana tatizo hilo na daktar nimezunguka Naye hospitali nyingi bila mafanikio naishia...
Natumai nyote wazima wa afya,
Nimekuwa nikinywa maji yasiyo pungua lita 5 kwa siku,
yaani asubuhi nikiamka tu nakunywa lit 1, nakaa mpaka saa saa 3 asubuh baada ya chai tena nakunywa lit 1...
Habari Great Thinkers,
Katika shughuli zangu kama mtaalam nimekutana sana na suala la matumizi ya madawa ya kienyeji hususan wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua. Pamoja na heshima kubwa...
Ninatambulisha tiba ya ugonjwa wa kisukari. Imethibitiswa na kuruhusiwa nchini. Kafanye A1C, FGP ama OGTT test kabla ya matumizi ya hii dawa ambayo nitakupa in details, kisha baada ya wiki mbili...
Naomba msaada wa kufahamishwa juu ya tatizo linalonisumbua la kuumwa kichwa kila mara ninapoamka usingizini, na ninapofanya kazi kwa muda mrefu kwenye laptop, au ninapoangalia tv hasa kwenye...
Nikiamka asubuhi huwa niko nomal level.
Kadri siku inavyo zidi kusogea ndivyo inavyozidi kuvimba usawa wa vifundo kwenda chini,nikibonyeza kwa kidole hakuna maumivu ila naacha kishimo kama...
nimepatwa na tezi nadhani lakini nikawa nahisi kitu kooni. sasa nimechunguza nimegundua ni kimeo kimerefuka sana. kabla sijaenda hospitali ningependa kupata maoni toka huku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.