Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mtoto wangu ana miezi saba lakini kitovu hakijapona.Nilimpeleka hospitali,daktari akaniandikia dawa iitwayo SPAMCLOX na akanieleza nimkande mtoto kwenye kitovu kwa maji ya uvuguvugu yenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nawasalim wote! naombeni msaada kwa watalaam wanaojua kutibu tatizo la kuwa na upele mwingi kichwani. Mdogo wangu ana miaka 5 sasa na tatizo hili, akilala usiku kuna wakati mwingie anakuta...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba niende moja kwa zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa takriban mwaka mmoja sasa, kwa kipindi kirefu tuko mbali kwani mimi nipo Dar na yeye ni...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Wadau Leo nahitaji mnijuze zaidi kwanini hizi sehemu Za unyayoni kiunoni ,makwapani na sehemu zingine huwa na hali ya kujisiskia kusisimka (kutekenywa) Mara mtu anapokugusa taratibu?? Nini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni kikwazo kwa kushika ujauzito au kawaida tu, shemeji/wifi yenu ana hiyo hali. Mf mwezi huu akiingia trh 20, mwezi ujao atawahi kuingia kwenye trh 17. Naombeni maelezo khs uhusiano wa trh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KUNA RAFIKI YANGU AKIWA NDANI YA 18 (Kwenyesex)AKIPIGA GOLI MBILI TU HUWA ANACHOKA NA KULALA USINGIZI KAMA WA PONO Nimshauri vp huyu rafiki
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Of recent we have witnessed the launch of yet another energy drink in the beverage market only this time being the product of Forever Living. For those involved in the international and one of...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nguo hizi za ndani zinasemekana kuwa na uwezo wa kulinda wanaume kutokana na madini hatari yanayoathiri nguvu za kiume Kampuni ya Belly Armor, ambayo ilikua ya kwanza kutengeza bidhaa...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu! Jamani miye naumwa upande wa kushoto wa moyo; nina maumivu makali. Nimekwenda hospital nyingi sijapata suluhisho; maumivu hutulia kwa muda baada ya tiba na kuanza tena...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake. Nini...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
wingi wanywele mwilini unasababishwa na nini?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman mi nilikuwa naumwa sana tumbo la Mp. Lakin nilipoanza kutumia pad za HQ maumivu yamepungua. Najiuliza hazina madhara yoyote kiafya kutoka na raw material yaliyotumika kutengenezea...
0 Reactions
18 Replies
19K Views
Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima! Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Baada ya Rais wetu kwenda ng'ambo kuchekiwa afya na kukutwa na tatizo la Tezi dume na akafanyiwa upasuaji. Taarifa ya habar jana,ambayo ilitolewa na waziri asie na wizara maalum kwamba mwanzoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakaa na mtoto wa kaka yangu hapa kwangu, ghafla kaniuliza swali, hivi Baba eti kwanini mtoto akizaliwa na miezi Saba anaishi lakini akizaliwa na miezi nane anakufa? Naomba sababu za kisayansi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Fanya.haya huwe na baby face
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Naomba kuuliza kwa yeyote aliyewahi kupata matibabu ya macho katika hospitali mpya ya International eye hospital iliyoko Victoria.gharama za kuonana na daktari .
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mi ni mjasilia mali nahtaji mtaala wa meno kwa mana ya registered dentists.ofisi na eneo lipo tayali mwenye ujuzi na fani hyo naomba anpm, tusisubiri tuajiliwe njooni tujiajili market ipo...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Back
Top Bottom