Habar wadau hapa jamvini mimi niliwahi kung'oa jino la mbele miaka mitano iliopita nikawa natumia jino la bandia ila hivi karibuni nilisikia habar ya dental implant nikaona pengine ni nzur zaid...
Habari za jion bandugu
Kwanza nashukru kuniunganisha hapa, mie ndo kwanza naanza, kwahiyo km kutakuwa na makosa yoyote tusameheane.
jaman nataka kueleweshwa kwa walio na ufahamu juu ya hizi...
Jana nilipokea mgeni toka mkoani ambaye toka nikutane nae muda wa saa kumi jioni alikuwa akinywa pombe aina ya konyagi iliyo ndani ya pakiti na alikunywa za kutosha mpaka akalewa kabisa.
Tulipo...
Habari!
Nna Mdogo wangu wa kiume ambae amekuwa akisumbuliwa na ameoba muda mrefu sasa! Amekuwa akienda hospital na kuandikiwa dawa ambazo zimekuwa zikimsaidia Kwa muda mfupi then tatizo...
Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama...
Kuna rafiki Yangu Ameshauliwa Na Dk Atumie Vidonge Hivi Ili Kuregurate Homon Zake Baada Ya Kutoziona Siku Zake Kwa Kipindi Cha Miezi 2 Na Wiki 2 Baada Ya Kujifungua. Je Vidonge Hivi Vina Weza Kuwa...
A newborn baby has died after being kissed by a mystery person with cold sores.
Nancy Shayo born healthily on November 1 via caesarean but died just 24 days later after becoming infected with the...
This Is What Happens When You Drink 10 Cans Of Soda Per Day for One Month
The before and after pictures say it all:
Its not news that soda is bad for us. But it is jarring to witness the...
Hospitali ya Misheni Wilayani Sengerema mkoani Mwanza imepata lawama kutokana na kitendo chake cha kumuongezea damu ambayo siyo kundi lake mtoto aliyeafahamika kwa jina la Salome Pastory...
Habari zenu jamani!
Mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama ana meno yaani zimejigawa alama za meno yaan cjui nielezeje, ngoja nitume na picha mnisaidie
Habari wana JF.
Mimi ni binti mwenye unene wa kawaida ila tatizo langu lipo kwenye shingo yaan ikitokea nimeongeza uzito kidogo ninakuwa na mafuta mengi shingoni kiasi cha kwamba hta...
Msaada:
Dada yangu ni mjamzito miezi tisa sasa, juzi kafanya utra sound wanasema mtoto amevingirisha kitovu shingoni kwa hiyo uwezekano wa kujifungua kawaida haupo ila kwa operation mapema bila...
Watu wengi wamekuwa na mazoea ya kula nyama ya ndani (pulp) ya chungwa na kudhani kwamba maganda hayana faida.maganda yanatupatia ,vitamin a ,c na virutubisho vingine vingi.
Faida za maganda ni...
Naitwa Afredy, ni mtanzania nampenda Mungu. Natambua wapo watu wenye matatizo ya figo na wapo katika hali mbaya ya kupoteza maisha yao.
Nipo tayari kutoa figo langu moja ili kuokoa maisha kwa...
Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.
Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na...
Za leo ndugu wapendwa, jamani na shoga angu ametoka kujifungua j,pili hii iliyopita na ametokwa na michubuko kwenye chuchu zake mpaka anashindwa kunyonyesha mtoto kwa maumivu anayoyapata. Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.