wana JF salam.
naombeni kujua, ni sababu zipi ambazo hupelekea mtoto anazaliwa akiwa kawaida lkn kadri anavyokuwa, kichwa pia kinakuwa kikubwa hadi kuwa mzigo mzito kwa mtoto na wazazi.
na...
Wadau naombeni kuuliza kuhusu HIV test. Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano kuna Docta anasema kuna HIV determiner...
Mitaani kuna miwani ya aina nyingi inayouzwa lkienyeji na watu wengi wamekuwa wakiinunua na kuivaa kama urembo au kupunguza makali ya miale ya jua. Kuna wengine huvaa pia ili watu wasiwatambue...
Sisikii Denguo wala Ebola kunani Tanzania ,au ndio haya magonjwa yameshatoweka au ilikuwa international game over Tz ,kila nikipima naona hii hali sasa hivi hatuioni si kwenye vyombo vya redio...
Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts. Sunzua ni ugonjwa wa ngozi unaofahamika na wengi. Ugonjwa huu husababishwa na virusi...
Ndugu Zangu Wanadokta Wa Jamii Mi Nina Tatizo La Meno Yangu Kuoza Mawili Katika Taya Ya Juu Yananifanya Kuhisi Aibu Nichekapo Kwa Sababu Ya Weusi Wake Katikati Ya Meno Mahali Ambapo Pameoza.kwa...
habar zenu wana jf, mke wangu ni mjamzito wa miezi miwili ila kinachonishangaza juu ya ujauzto wake ni kua, anapenda sana harufu ya mwili wangu na jasho lake, hivo huninusa nusa mfano wa mbwa...
Leo nikiwa kwenye baa moja nilipata kusikia watu wakijadiliana mada ya matumuzi ya ARV na pombe. Waendesha mada walikuwa wanasema kwamba mtumiaji wa ARV anaweza kunywa dawa na baada ya masaa 3...
Wadau,
Mimi binfsi nina tatizo ambalo naona limeanza wiki moja sasa.
Jino moja (Premolar)lilianza kulegea (linatingishika) lakini halina maumivu labda ulitingishe au nitumie upande huo...
Sijui kama Niko sawa wakuu naombeni Ushauri kabla ya kwenda hospital kwasababu siko sawa. Kama mwezi mmoja uliopita nilishikwa na tonses pamoja na homa kali sana, nilitumia dawa haikuchukua wiki...
Habari ya majukumu wana JF?
Nina mfanyakazi mwenzangu wa kike tunafanya kazi ofisi moja. Mwanamke huyo ana tatizo la kusinzia mara kwa mara. Iwe ni asubuhi mara tu baada ya kufika kazini, iwe ni...
Picha ya Kopyuta ikionyesha athari za Alzheimer
Tatizo la kukosa usingizi huenda likawa ishara ya kutambua mapema maradhi ya kupiswa na akili au ''Alzheimer'' kwa mujibu wa utafiti uliofanywa...
jambo bandugu?
Nina shida mama watoto hapati ujauzito huu ni kama mwezi wa tatu sasa najaribu bila mafanikio. Naomba mwenye connection na dr yeyote mtaalam either anipe namba yake pm nifanye...
Habari wapendwa,
Nakumbuka ilikuwa tarehe 14 ya Julai mwaka huu nilivyofanya vipimo baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ujauzito, nilienda hospitali kubwa kama tano hapa Dar na nilionana na...
Mimi ni kijana ninaishi na mpenzi wangu ila tunaishi mikoa tofauti ila siombali sana maana kila wiki endi ninauwezo wa kwenda kumtembelea mpenzi wangu. Mnamo tarehe 30/09/2014. nilikuwa na safari...
Sofia James Mwiga (17, pichani) ni mkazi wa Manispaa ya Mkoa wa Tabora nchini Tanzania anaishi na ugonjwa wa kuvimba miguu kwa muda mrefu hali ilinamfanye awe mpweke huku akishindwa kuanza shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.