Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni ushauri, nina dada yangu ana miaka arobaini na tatu ana mtoto mmoja ana miaka kumi na tano. Mume wake alifariki, sasa amepata mume anataka kuzaa nae. Je, kiafya ni sawa?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba nijize dalili za mshipa
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Salaams wapenz..... Mtoto wa dada yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 9 ameanza kusumbuliwa na miguu kwasasa ana miezi 4...... Ilianza ghafla tu akawa analalamika kua visigino vyake vinauma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi! naombeni kujuzwa ya kuwa kuna uwezekano kwa mwanamke mjamzito kuendelea kupata hedhi? au kwa lugha nyingine wanaita "punguza" na ni nini hatima au dawa yake? na kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar zenu huku jf doktas??mwenye ujuz tafadhal anijuze. Je kukojoa mkojo wenye harufu ni tatizo? Na kama ni tatizo laweza kuwa tatizo gan? Nin tiba mbadala badala ya kwenda hospitali ? (kama ipo)...
0 Reactions
13 Replies
21K Views
Panic attack(jazba..waswahili mtanisaidia) Hii ni ile hali ya kuingiwa na hofu au uwoga ghafla ingawa kiuhalisia hakuna kitu chochote kibaya kinachotokea au kitacho tokea. Hofu hii inampelekea...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Kwanini mtu akitekenywa anashtuka halafu anacheka? and why inakuwa ni baadhi ya sehemu za mwili tu kama vile mbavuni, makwapani na kwenye unyayo. Na kwanini mtu akijitekenya mwenyewe hacheki? ni...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
KABICHI Kabichi linaweza kuliwa bichi, Likichanganywa kwenye kachumbari au kupikwa na kula. Kabichi lina kalonzi kidogo Lakini lina vitamini c nyingi sana. Wataalam wanatuambia kabichi lina...
2 Reactions
4 Replies
38K Views
Nina rafiki yangu ambaye alijaliwa kuwa na mtoto toka 2008, shida anayopata ni kwamba huwa anasumbuliwa sana na kuumwa Tumbo. Haijalishi amekaribia siku zake za mwezi (menstruation cycle) huwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Napenda kujua kama kuna tiba au suluhisho kwa mtu mwenye tatzo la figo kuwa chini kuliko sehem inayotakiwa,mke wang anashida hyo na inampa maumiv makal sana hasa wakat wa tendo la ndoa.Figo yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, unajua kua mshtuko au Hofu iliyopitiliza ni ugonjwa na kua unatibika? Watu wenye tatizo hili huwa hofu kubwa wakati mwingine bila sababu; huhisi kama wanashindwa kufikiri vizuri; Wanashindwa...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Habari zenu, kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia watu wengi wamekuwa na matumizi ya computers hasa maofisini kifaa hiki kinaweza kukuletea matatzo ya macho pia kuna wale wenye matatzo...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
HABARI WAKUU WA JUKWA HILI...NINGEPENDA KUJUA KITU KUTOKA KWENU.kwa mfano mwanamke amefanya mapenzi siku ya kumi na tano.AKAAZA KUTUMIA vidoge vya majira familia kuazia siku hiyo..je ataanza kuona...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kitaalam tatizo hili linajulikana kama INTERMITTENT EXPLOSIVE DISORDER (IED) na dalili zake ni · hasira za ghafla zilizopitiliza (explosive outbursts of anger to the point of rage) ·...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii habari za masiku? Naomba mnisaidie hili tatizo ili niweze kumnusuru ndugu yangu. Nina ndugu yangu ambae yeye ana hasira sana. Pia ni mtu ambaye huwa ni negative thinker, yaani endapo...
0 Reactions
40 Replies
19K Views
baba na mama wakifanya tendo la ndoa na kumshika mtoto kabla ya kuoga, je hapo itawa wamembemenda mtoto?
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Habari zenu humu ndani. Naomba msaada wa kueleweshwa, mama mjamzito aliyeshauriwa kuzaa kwa operation kwa sababu mtoto hajageuka atapaswa kusubiri wiki ya 40? Au itabidi apasuliwe kabla ya wiki ya...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari wana-jf Inakuwaje unaamka asubuhi na unakuta mdomo umevimba? Dawa yake ni nini? Ahsante.
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Jamani naumwa malaria tangu jumamosi na nimeenda hospital na kutibiwa kwa sasa nina nafuu kubwa tu. Tatizo lililojitokeza ni hili Jana jioni wakati naoga nikashangaa kuona kovu kama la kuungua...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom