Habari zenu waungwana
Mwenzenu nimekuwa na hili tatizo la kuteguka bega, ni ngumu kidogo kuielezea hii hali ila nitajitahidi kadri ya uwezo
Iko hivi, tatizo hili mara ya kwanza kunitokea nilikua...
Habari,
Nimekutana na product ambayo imenisaidia matatizo ya vidonda vya tumbo vilivyonitesa kwa muda mrefu. Jambo zuri zaidi, imeokoa maisha ya ndugu zangu waliosumbuka kwa magonjwa muda mrefu...
Husika na somo hapo juu!
Mwanangu, 2yrs, aakohoa sana, na hasa nyakati za usiku mkubwa, mara nyingi kuanzia saa 8 hadi kunakucha. Tumeenda Hosp, vipimo vya damu na mkojo majibu ni safi! Tumempa...
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani.
Inakadiriwa kuwa karibu asilimia moja...
Ndugu zangu naomba mnisaidie,coz somehow nahisi kuwa confused with the situation of my gf,kwa kawaida tumekuwa-tuki enjoy sana relationship yetu since we met,but unfortunately nimetoka safari...
RADIO DORTCH VELLE YA MJINI KOLON UJERUMANI JANA ILITANGAZA DAWA ZA DICLOPA NA DICLOPHENAC KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU IMEGUNDULIKA VIDONGE HIVYO HUSABABISHA KANSA YA INI NA UBONGO...
Good health is something very important. We need it for other things to be done well.
In finding for good health solution to my parents, friends and relatives I came to found about a wonderful...
Mhali gani ndugu,mimi baba yangu anaumwa kisukari aina ya Type 1 ,niko tayari kwenda kokote duniani nimpe zawadi ya kupona ameshatumia insulin kwa miaka minne sasa kwenye mitandao nimezunguka...
Kwa mwenye uzoefu ama aliyewahi kuugua ugonjwa wa macho katika upande wa optic nerve na kumfanya kuwa na uoni hafifu anisaidie uzoefu aliobao kuhusu ugonjwa huo.mimi pia nina matatizo hayo huu...
If health and weight loss aren't enough to get you to exercise, how about improving your sex life? Sure, exercise can help you look better, always a plus in one's love life, but it also gives you...
habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye...
Habari wana jf ,mm nna ujauzito una wiki 3 mara ghafla leo asubui nikaona bleed kiasi cha kuvaa pedi moja,eti hii ni kawaida au ndio nimepata miscarriage? Lakini cjisikii vibaya wala kuumwa nipo...
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya...
ANAOMBA MSAADA
Niwapo hedhi naumwa sana na tumbo hasa maeneo ya nyonga pia lina jaa sana,miguu inajaa nahisi kuchoka muda wote had kumaliza siku, pia nakuwa na hasira kupita kias nisaidien plz!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.