je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi.
nahitaji kufahamishwa tafadhali
Middle aged women, who regularly partake in some form of exercise each day, are significantly reducing their chances of getting cancer.
London: Everybody is aware of the fact that exercise is...
Kitendo cha kulia na kutoa machozi ni kitu kinachokubalika na tamaduni zote duniani. Unapocheka au kulia mwili huweza kupitia mabadiliko ya kikemia na kifikia pia kutoa machozi au kucheka vyote...
Wanabodi
Nimekuwa nikisumbuliwa na maamivu ya tumbo, linawaka moto kwa upande wa juu karibu na kifua, nimeenda hsptl ya muhimbili nikafanya kipimo cha endoscopy, nikagundulika na ugonjwa wa GERD...
Mama yake kajifungua kwa operation na kufariki Dunia,alikuwa dada yangu ,kwa sasa kanatumia maziwa ya unga Lactogen 1.Naomba jamani kama kuna mbinu zaidi za kitaalamu zenye kuniwezesha kumkuza...
Nimeisikia hii kutoka kwa dokta mmoja wa mwanza (huenda msukuma) kwenye kipindi cha startv saa 4 usiku tar 11/02/2013, nijuzeni kama ni kweli ati mifupa ya dagaa inachomachoma kwenye utumbo na...
je kuna dawa ya kusaidia kukuza cognition level kwa ajiri ya watoto wanaopata taabu shuleni?, na je kuna madhara yoyote kutumia dawa hizo na kama yapo nini mnashauri,na kama kuna aliyetumia mtoto...
Waungwana,
Nina tatizo la miguu (Joint Magotini). Nikitembea miguu inalia kama mifupa inagongana. Huwa nafanya mazoezi ya kucheza mpira wa miguu, hivyo nakimbia sana. Lakini sasa nashindwa...
Ndugu zanguni habari za mchana huu? Ndugu zangu mm nlikua naomba kuuliza dalili za mimba kwa binadam huanza kuonekana bada ya mda gani tokea kuingia kwa mbegu za kiume?
Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika...
Habari wana jamii,
kwa muda kama wa mwezi hivi nakuwa kama nimepaliwa na kitu bila hata yakula chochote wala kunywa ni(hewa tu)
hii inanipelekea kukohoa na kupoteza sauti kwa kama dakika moja...
Naombeni mawazo ndugu zanguni.wife kapata mimba huu ni mwezi wa pili naombeni mnishauri namna bora ya kuitunza ili aweze kujifungua salama lakn pia ajifungue mtoto mwenye afya njema.asanten kwa...
Wadau naomba msaada wenu,kwenye ma group ya Damu kuna group la o- (O negative) huyu anaweza akamuongezea mtu mwenye damu group gani?
Nasumbuka sana na swali hili tafadhali anayejua naomba...
habar wakuu nnapata hilo tatizo kila siju hali hii inanpata sna sana nkiwa na wasiwasi najisikia kichefuchefu na kuacha kula kabisa asubuh sometimes hali hii mpka mchana but jion inapotea msaana...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wana Jamii forum kwa michango yenu mnayoitoa katika mada mbalimbali humu jamvini kwani imekuwa msaada kwa Watanzania wengi sana Mungu aendelee kuwabariki na awape...
Salaam wana jf Doctor.
Mimi ni mtumiaji (mnywaji) wa kahawa kwa sasa nina takribani miaka saba ya utumiaji wa kahawa.
Naombeni mnijuze kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.