Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

WANDUGU, DOGO anataka kufungua duka la dawa phamacy kigamboni hapo, na ninafahamu kuna uvumi wa dawa bandia nyingi mtaani. mimi pia nitatia mguu kumsapoti, hivi kwa hapa dsm, ni maduka gani ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwa anaejua info za chuo kipya cha clinical officers(diploma of medicine) hapa dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TATIZO LA KUTOA MANIII YENYE MBEGU CHACHE (OLIGOSPERMIA), FAHAMU SABABU DALILI NA MATIBABU: Ni ile hali ya manii ambayo mwanaume kuyatoa baada ya kufika kileleni kubeba mbegu chache ambazo ziko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za kazi ,business na wale walioko shule Leo napenda kuangalia hili swala zima la kina dada wanaofanya Diet ili angalau kuufanya mwili uwe mzuri na kuepusha magonjwa kama BP Nk Nk pia...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mke wangu anasumbuliwa na mgongo sehemu ya kati {uti wa mgongo} HISTORIA YA MGONJWA; Tatizo lilianza kwa maumivu kiasi lakini lilianza kuwa kubwa alipopata ujauzito na kadri ujauzito ulipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wandugu sijui hili ni tatizo au ni hali ya kawaida. Nikipata sexual stimuli kwa mfano nikifanya romance bila ku do baada ya muda napata maumivu makali sana kwenye mapumbu ambayo yanaweza kuchukua...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Jambo wadau, mzunguko wa wife ni siku 26 mara nyingi japo kuna time zinakua 28. Mimi nimempa haki yake siku ya 12,13,14,15 yani nilikua kila asubuhi nadukua kamoja tu mpaka kesho kamoja tena kwa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Salamu kwenu wana JF. Nahitaji msaada kama kuna anaejua dawa ya kuvimba tezi au kilugachetu yanaitwa "Masambatuta" yaani maeneo ya karibu na masikio kuvimba na kuonekana kama umenenepa masikioni...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Heshima mbele wadau, Naomba kujua muda mwafaka wa mama mjamzito kuanza kuhudhuria kiliniki, hasa mimba ya kwanza. Coz wa mama watoto ana wiki kumi na nne (14) hajaanza kuhudhuria. Na anasema...
0 Reactions
11 Replies
63K Views
Habari za kwenu wana JF mi nilikua naswali. Eti inawezekana Mwanamke akakosa nguvu za kike ,namaanisha kwamba hasikii kitu wakati wa kujaamiiana?...nna rafiki angu ambaye aliniambia kua yeye...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ukweli Kuhusu UKIMWI ni kitabu kinachotoa maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo yameshaandikwa na...
1 Reactions
17 Replies
10K Views
Dalili za vidonda vya tumbo. dalili zipo nyingi lakini kubwa ni kusikia maumivu kwenye mvuko wachakula na kusambaa hadi juu ya kitovu pia kama ni vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na...
0 Reactions
2 Replies
15K Views
Habari, wataalamu Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu...
1 Reactions
2 Replies
994 Views
TATIZO LA KUTOA MANIII YENYE MBEGU CHACHE (OLIGOSPERMIA) FAHAMU SABABU DALILI NA MATIBABU Ni ile hali ya manii ambayo mwanaume kuyatoa baada ya kufika kileleni kubeba mbegu chache ambazo ziko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani ndugu zangu ilitatizo linanitesa kwamuda mrefu sinaamani,mimi nimweupe lakini kwapa nasehemu ... ni peusi lakini nipasafi kwani nafanyausafi kilamara.nisaidieni dawa yauhakika nimeshajalibu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tangu saa 3 tupo kituoni chanjo hizi za kampeni zimeisha.wametuambia tusubiri wataleta tumesubiriiii weee bado hadi sasa.itabidi kuondoka na kurudi tena. Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilikwenda kufanya kipimo cha ultrasound kwa ajili ya tatizo la uzazi dokta akanipima ini na figo akaniambia kuwa ini lina mafuta. Naomba wenye utaalamu mnieleweshe mwenzenu ini kuwa mafuta...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Asilimia 50 ya wagonjwa wanaotibiwa Muhimbili, kitengo cha Fiziotherapia, wanaumwa magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yalielezwa jana na Katibu Mkuu wa Chama cha Madaktari Wazoeza Viungo Tanzania, Dk...
11 Reactions
42 Replies
12K Views
Mzee wangu anatibiwa katika hospital moja jina naomba nisilitaje kwa usalama wa mgonjwa.kapiga CT I.V.U Majibu Yakatoka Tukayapeleka Kwa Specialist Wa Matatizo Ya Figo.Huyu Akasema Kwenye Figo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wana jf habari,? Nilileta uzi wangu humu kuhusu hali yangu ninayo iona pindi ninapojisaidia haja kubwa ya kuona kama mucus au kamasi zikitoka na haja. sasa basi wadau wakanishauri niende...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom