Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
Habarini wakuu.
Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya?
KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha...
Mashine iliyotumika kuuhisha moyo uliokufa na kisha kupandikiza kwa mgonjwa
Madaktari wa Australia wamefanikiwa kuwarejeshea uhai wagonjwa watatu baada ya kupandikizwa moyo uliokufa katika...
Habari wadau.. Asalaam aleykum.. Bwana yesu asifiwe.
mimi ni kijana mwenye miaka 25
nimesoma boys school kwa miaka 6..kiukweli kama mjuavyo maisha ya boys.. Nilikuwa napenda sana kutumia...
Habarini binadamu.Nina tatizo la sikio la kushoto kuweka vipele vidogo vinakauka na kujirudia nimeshameza dawa za kizungu mpaka nimechoka,naomba mwenye dawa ya kienyeji ajitokeze au mwenye ushauri .
salaam jamani,
samahan naomba kujua nini tatizo langu. katika hali ambayo siyo ya kawaida nikienda haja kubwa huwa naona vitu kama uteute mweupe umeambatana na kinyesi.
naomba kujuzwa...
Hii dawa nimeiona kwa page ya mtu nikaona nilete JF Doctor labda kuna mtu atasaidika sijui chochote nimecopy na kupaste namuita babu MziziMkavu ili kama ni sumu akemee mapema aliyepost katumia na...
habari zenu ndugu najua jf kuna watu mbali mbali na pia kuna wale mungu amewajalia kuwa madaktari mbarikiwe kwa kazi mnazo zifanya. mimi tatizo nililo nalo tangu mwezi uliopita usiku ninapo lala...
Wakuu,
1. Utafiti uliofanywa nchini Tanzania (http://www.tzonline.org/pdf/femalecircumcisionandHIVinfectionintanzania.pdf) umejikuta ukishindwa kueleza ni vipi kuna maambukizi machache sana ya...
Wadau naomba ushauri maana naelekea kuwa confused.
Nina mtoto mwenye umri wa miaka 7. Huyu mtoto amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa tumbo kwa style ya kushtukiza, yaani inamuanza ghafla na...
Habari wakuu,
Nina Rafiki yangu nilisoma naye primary na nikamliza naye mwaka 1997 ,2009nimemaliza mimi chuo. Baada ya kumaliza Darasa la saba alipangiwa Tanga School(Tanga Tech), alimaliza...
Nilikuwa natatizwa sana na jambo hili, na sikuwahi kupata daktari aliyenipa jibu la uhakika. Nimesoma article hii hapa chini na nafikiri nimepata mwanga kidooogo.
Can you take two antibiotics at...
Habari wana jamvi, leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa...
Best Sources Of Iron That You'll Actually Want To Eat
A Bonanza for Seafood Lovers
What it is: A raw-bar feast
How much iron you get: Per 3-ounce serving, oysters have 6.2 mg iron and clams...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.