Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari, Jamani naulizia tiba ya kigugumizi ipo? Mwanangu ana miaka 3 ana kigugumizi kikali kuliko mimi, Je kinatibika?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Tumbo langu linaunguruma sana mpaka linaniogopesha, msaada waungwana.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nataka Nijue Mana Mkojo Na Kinyi-esi Inaelezwa Ni Uchafu Vip Kuhusu Kamasi? Jigo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba mnisaidie kwani nna tatizo ambalo kuna wakati sehemu za siri kunavuta na kiuno kinashika kiasi ikitokea hiyo najikunja na kutembea kama kikongwe.Inatokeaga ghafla,Sijazaa bado...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana Jamiiforums. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu kwa siku za hivi karibuni wakati na baada ya kusex analalamika ya kuwa anawashwa sana ukeni, tofaut na mwanzo mpaka hataman...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
.............
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Heshima kwenu wana jamvi...!! Nimekua na tatizo la kuongezeka kwa mapigo ya moyo kila niamkapo asubuhi. Hali hii imenianza kwa zaidi ya wiki moja sasa, na pia mapigo ya moyo huongezeka kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Kuna Energy drink inaitwa ni energy drink iliyotengenezwa na caffen ya asili inayotumika nchini Brazil. mtumiaji wa kinywaji hiki ataweza kupata faida zifuatazo: Huondoa maumivu ya kichwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu tulipanga kutoa dawa hii kwa watu 15, lakini mpaka sasa wamechukua watu 11 (kumi na mmoja) tu Watu wanne wamepiga simu na kushukuru kuwa dawa ni nzuri imewasaidia sana. Wawili wamesema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sehemu zangu za siri kuna washa na maumivu.nifanyejee?WANADOKTAR
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ugonjwa wa fizi kumumunyika na kuacha meno wazi, je unaitwajwe na je unatibika? Msaada wenu wadau. CC MziziMkavu
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Naomba msaada wenu tafadhali,nyama za mguu zinaniuma had nashindwa kutembea.ni upande wa nyuma kutoka kwenye goti had kwenye unyayo.tafaaaaaadhali nisaidien tatizo ni nin?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau suppliment ya spirulina inahitajika urgently... pls
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ni matumaini weng wetu ni wazima ila mimi hali si nzur sana. Ndugu wana JF, naomba maelezo kwa wataalamu wa meno na kinywa. Kwa muda mrefu nilikua naumwa jino hatimaye leo...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Hili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf, Tatizo hili limemuanza akiwa Mchanga na sasa ana miezi 9 nimejaribu mara kadhaa kumpeleka hapo hospitali nimepewa vidonge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatatizo la mifupa toka nikiwa mdogo hadi leo hii bado nateseka nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio huwa unatokea uvimbe mikononi na mguuni baada ya kupasuka uvimbe huwa vinatoka vipande vya...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
No matter how bad your day might be, it can't be as bad as the young man who had to have hundreds of maggots removed from his ear -- with tweezers. Last May, an unidentified patient approached...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Daaah nina tatizo lakusumbuliwa na vipele vingi sana katika kidevu changu kutoka na kazi ninazofanya sometimes inanibidi kutumia hata wembe basi hapo ndo huwa ni makosa makubwa sana na hata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimenyamaza lakini nimekosa uvumilivu. Kwanini ikulu inasema Rais Kikwete ana tatizo la Prostrate? Sasa nirudi kujadili. Prostrate ni neno la kiingereza na maana zake hizi hapa: adjective lying...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom