Naumba utatuzi ni siku ya tatu sasa tangu nifanye mapenzi kwa mara ya kwanza yaaan kutolewa bikra ila kuna vitu vya rangi ya damu vinavyoteleza vinatoka ukeni je ni kawaida kwa hii hali au sio...
Drug commonly prescribed for back pain DOESN'T work - and is 'no better than a sugar pill'
Drug pregabalin - marketed under the name Lyrica - is prescribed globally
While it is not approved to...
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?
Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa...
habari ndugu zangu
naombeni ushauri na kujuzwa tafazali
ni takriban mwaka wa pili huu kila nikinywa maji natokwa na jasho sana,mwanzon jasho likikua linatoka kawaida tu lakini saiz naona hali...
Wakuu ile dawa yetu ya IGP ambayo imeleta matokeo mazuri imewasili
ipo dozi ya kuwatosha watu 100.
MATUMIZI.
Pima kiasi kidogo tu yaani chini ya robo kwa ncha ya kijiko cha chakula
kama...
Askofu mstaafu Desmond Tutu
Askofu mkuu mstaafu wa Cape Town,Desmond Tutu,ameahirisha mipango ya ziara zake kwa mwaka mzima ujao kutokana na sababu za kiafya.
Taarifa iliyotolewa na taasisi yake...
Mwaka Jana kuna mdada nilimpatia ujauzito, mimba ilikaa miezi kumi na alipojifungua mtoto alitoka kaishafariki na alikuwa na kitovu cha kijani. Ila kabla hajajifungua walipima mapigo ya moyo mtoto...
Kuna dawa ya asili inaitwa stameta inayopatikana South Africa, matumizi yake ni kusafisha mwili. Ukiinywa ni chungu kupindukia ila baada ya kunywa unakuwa unaenda chooni mara kwa mara (Usijaribu...
Waweza kupunguza sukari iliyozidi mwilini kwa bidhaa ya 'blood sugar and lipid-reducing tea.
Bidhaa hii sio dawa ni virutubisho kwaio haina adhari zozote mwilini.
box moja ni elfu 40...kwa...
Siyo wote wenye vipara mitaani vinatokana na uasilia. wengine ni kutokana na magonjwa na wengine ni mawazo.
KWA UFUPI
Wataalamu mbalimbali duniani wamefanya utafiti juu ya sababu, chanzo na tiba...
Hii ni mara kwa mara napata hili tatizo nina muda mrefu sana zaidi ya miaka mitatu kajembe kalishapotea na ndani yake huwaga napata maumivu sana. Sasa saiv imefika sehemu nguvu za kiume...
Yani nikimeza tuu dawa hizi lazima nipate kizunguzungu na kichwa kuuma vibaya mno, pia nahisi kichefuchefu mbaya mno, kwa wataalam naombeni kama kuwa mtu anajua mbadala wa dawa hizi jamani...
Nianze kuwapa pole kwa jukumu kubwa la kutoa elimu na ushauri juu ya afya zetu, ahsanteni sana.
Kwa muda mrefu nimeishi bila ukucha wa kidole kikubwa cha mguu wangu baada ya kuathiriwa kwa...