Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana Jamii? naombeni ushauri wenu nitumie nini kuondoa makovu miguuni? nina makovu makubwa miguuni nimejaribu kutumia hasari lakini haijasaidia kabisa. msaada jamani
0 Reactions
9 Replies
38K Views
Sijajua kama naloni tatizo la nguvu za kiume.Tatizo langu nawai sana kumwaga {kupizi} yani sichukui sekunde 50 namwaga lakini cha ajabu naendelea na round nyingine hata mara5 kwa staili hiyo hiyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
This sms has been deleted..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu naomba msaada kwa hili tatizo. Imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini. swali hili nilishawahi kumuuliza mwalimu wangu wa o-level lakini na yeye aliishia kucheka tu pamoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jf, hivi jamani hawa madaktari wa Hapa nchini Tz kwenda kujitolea huko kwenye kanda zilizo athiriwa na ugonjwa wa Ebola haitaleta tafrani hapa kwetu? Maana hata madaktari wa...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
A new cure for hepatitis C has given new hope, but its price is far too high, while a scheme to supply poor countries excludes Malaysia and other middle-income countries. A CONTROVERSY is brewing...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Naomba ushauri wenu,mimi mvulana nina umri wa miaka 27 nilianza kufanya mapenzi nikiwa mdogo sana,hadi hivi sasa sijui idadi ya wnwwake niliowapitia,in short ni mtaalam wa kuwapa haki zao hawa...
0 Reactions
12 Replies
23K Views
Wasalaam wana jamvi JF Doctor, Jamani naombeni msaada wenu kuna kipindi cha mwaka 2007 nilianza ghafla kupata uvimbe kama majipu hivi usoni na kwenye nyama za sikio (sehemu wanayovaa hereni dada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
pole na majukumu JF DOCTOR naomba kuuliza tatizo la kuingia tumboni kwa korodan kunasababishwa na nini na pia madhara yake ni yapi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau habar zenu!! Toka huu mwaka umeanza nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid mara kwa mara, nimetumia dawa aina tofauti tofauti mara chache napona na inajirudia tena pamoja na kufuata kanuni...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
msaada wakuu tangu nipo form 1 miaka 15 mpka leoo mabanja hayaishi nisaidien dawa yake ni nn maana yanankera kwel hasa nkiwa katika mkusanyiko wa watu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A cure for HIV and Hepatitis C is within reach as Australian company Biotron Limited (ASX:BIT) announced successful trial of an antiviral drug that will kill both virus. The company announced that...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nilipata mshituko ambao mpaka sasa unaendelea kunistua na kuona hatari mbeleni,je wanajf hasa category ya jf doctor,kuna habari ya madaktari wa kujitolea wanaotoka tanzania eti wanaenda kutoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa dawa ya kuponyesha vidonda vya kuungua moto na kuondoa makovu kwa mtoto wangu kaungua moto.Amekalia chungu cha moto.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eating the best fat burning foods that speed up metabolism can make it much easier for you to reach and maintain your ideal weight but you can’t just add the best fat burning foods to your diet...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Wataaramu naomba msaada me ni mjamzito wa miezi tisa lakn nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno na tumbo lakn yanakuja yanakata halafu yanaanza tena baada ya masaa kadhaa naomba msaada kwa wenye...
0 Reactions
4 Replies
30K Views
Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya (matumizi ya) muda mrefu. Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajf naomba mesaada wenu. Ninatatizo la kuwa na hasira kupita kiasi hata kwa jambo dogo tu!
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Namepima kisukari nimeambiwa sukari iko juu japo bado haijaniathiri ila niwe makini. Sasa sijajua nifanye nini ili nisiathirike?(sukari iwe normal). Naombeni msaada wenu wakuu.
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…