Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wakuu! Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
1 Reactions
2 Replies
363 Views
Wakuu, Kitovu changu kina weupe unaosababishwa na vitu kama unga unga, japo hakuna maumivu yoyote lakini ningependa kufahamu hasa hili linasababishwa na nini.
2 Reactions
17 Replies
755 Views
Habari zenu wanajamvi, Leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu. Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua...
5 Reactions
119 Replies
33K Views
Afya ya akili ni muhimu sana, kama akili haipo sawa na mambo mengine hayaendi wapo wanaoteseka kwenye 𝐌𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨, 𝐧𝐝𝐨𝐚, 𝐮𝐜𝐡𝐮𝐦𝐢, Wezi, wachawi, magonjwa sugu, ukatili wa kijinsia, Dhuluma, Rushwa...
2 Reactions
15 Replies
567 Views
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser. 1.Nitrates 2.Alcohol 3.Fried Food(Vyakula vya kuoka) 4.Trans Fats 5.Canned Tomato 6.Food Dye(Rangi...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family. Anaanza kusimulia Habari zenu...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja, Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa. Iko...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Hakuna Nusu ya Mwezi kwenye kucha inamaanisha tezi dhaifu Ambayo inaweza kusababisha mabadiliko ya hali ya unyogovu kupata uzito na kukonda kwa nywele. Kucha kukatika kama nyufa kama kwenye...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE...
1 Reactions
1 Replies
449 Views
Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka...
4 Reactions
10 Replies
814 Views
Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
ARTICLES • GOLDEN FUND • INTERVIEWS After such cleaning of blood vessels, the pressure of the elderly ceases to spike, and 9 more supposedly "incurable" diseases go away! Famous South African...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna kapepo ka ulevi kamenivagaa kakuchanganya Kvant na mo energy yaani yaani imekuwa kama utamaduni kwangu karbia kila muda. Nikijskia kupiga gambe huwa nafanya haya mazoea nahisi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wenye uzito uliozidi (unaoitwa obesity) wanaweza au uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu na masuala mengine ya kiafya. Ni muhimu kutambua kuwa mzunguko...
0 Reactions
6 Replies
614 Views
Kuna makundi 3 ya kina dada huwa nashindwa kuelewa afya zao naombeni ufafanuzi: 1. Kuna aina ya kina dada ambao miili yao huwa ni baridi kabisa kama mtu ametoka kuoga vile ukimshika ubavuni au...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwaka sasa tokea uvimbe huu unitokee kwenye mkono wangu, japokuwa ulitokea ghafla, hauna maumivu yoyote hadi sasa Shida inaweza kuwa nini?
2 Reactions
44 Replies
1K Views
233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada...
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Wakuu kwema, poleni na majukumu. Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa. Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea. Kuna muda...
4 Reactions
17 Replies
677 Views
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5...
3 Reactions
11 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…