Nilianza kukohoa nikiwa depo mwaka jana, nikapigwa xray lakini baado madaktari wa KCMC wakasema wameshindwa kujua ni nini.
Mwaka huu tena imetokea..huwa nikianza kukohoa kawaida mara damu...
We have all heard of Aspirin! It is one of the most commonly used drugs. But, most of us are unaware of the purpose it serves and the side effects of its overdose.
Aspirin, also known as...
Leo asubuhi watoto wangu wawili wanaofuatana wa miaka 6 na 3 wamekunywa mafuta ya taa ambayo yalihifadhiwa chumbani ndani wakidhani ni Maji ya Kunywa yalihifadhiwa, niliwapatia maziwa fresh baada...
Ni bidhaa inayosaidia mzunguko wa damu uende vizuri kwenye ngozi na kuondoa mafuta yaliyokaa chini ya ngozi kwenye mapaja,mikono na tumbo. Ina,
Aloe Bath Gelee~hii ni sabuni ya kuogea yenye aloe...
Habari Jf doctors,
Naomba msaada,kila ifikapo baby days naumwa sana tumbo la chini ya kitovu upande wa kushoto na wa kulia,inakuwa kama mirija ina vidonda na kusababisha kiuno chote kuuma.
Na...
Habari,naomba mwenye kumjua daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi nasumbuliwa nimetumia dawa za hospital zimeshindikana
Nimeudhuria klinik muhimbili kwa Doctor Mgonda naona akuna maendeleo
Sent...
Kulingana na uchunguzi vimelea vinavyosababisha Malaria huweza kuishi mwilini kwa uboho (bone marrow) na kuepuka kinga za mwili na hivyo basi kusababisha maradhi.
Uchunguzi huu umedhihirishwa na...
Kunywa mvinyo haisaidii afya yako
Je umekuwa ukibugia mvinyo ili ili ukusaidie kiafya?
Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa...
Sijajua nieleze vipi ila kwa ufupi nina sikitika sana kwa uamuzi ulionilazimu kuufanya,baada ya kuwa mmoja wa wale wanaopinga sana utumiaji wa njia za uzazi wa mpango,nami nikawa natumia njia ya...
Jamaa yangu aliniomba ushauri nikashindwa kumjibu
tatizo lake ni hili
akiwa na mkewe kwenye 6kwa6 hupata goli moja raundi ya pili hushia kuanza na kushia mzee kulaa mwenyewe akiwa kwenye...
Naomba msaada wenu ndugu zangu,ni muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na muwasho usoni,shingoni hadi kifuani na imepelekea ngozi kuwa na mabaka meusi na meupe. Tiba pekee ambayo hunisaidia kwa...
Shahawa
Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu duni.
Onyo hili limetolewa na shirika la kijamii...
A worried woman went to her gynecologist and said:
'Doctor, I have a serious problem and desperately need your help! My baby is not even 1 year old and I'm pregnant again. I don't want kids so...
Baadhi ya watu wanahisi kuwa uchunguzi zaidi unahitajika
Tathmini ya utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, inaonyesha kuwa kiwango cha mbegu za uzazi za wanaume huathiriwa kwa...
Kuna uwezekano kuwa janga la ukimwi huenda likadhibitiwa ifikapo mwaka 2030, kulingana na ripoti iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi.
Ripoti hiyo imesema kuwa idadi...
50 common signs and symptoms of stress
1. Frequent headaches, jaw clenching or pain
2. Gritting, grinding teeth
3. Stuttering or stammering
4. Tremors, trembling of lips, hands
5...