Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nini tiba ya mtu ambaye kipimo cha Sperm analysis kinaonesha sperm zake ni Zero mortality rate.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa neemaherbalist (neemaherbalist.blogspot.com) kwa muda sasa wamekuwa wakijitangaza kutibu magonjwa mbali mbali ( kama Upungufu wa Nguvu za Kiume, vidonda vya tumbo, kisukari, malaria n.k) kwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi wana jf, Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi mitano sasa na mke wangu mjamzito...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
The next time someone at your office lets out a "silent but deadly" emission, maybe you should thank them. A new study at the University of Exeter suggests that exposure to hydrogen sulfide —...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Men who keep a mobile phone in their trouser pocket could be inadvertently damaging their chances of becoming a father, according to a new study led by the University of Exeter. Previous...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari zenu wadau, naishi na mwanamke ambae nimezaa nae mtoto mmoja, sasa anamiaka miwili, tatizo la huyu mzazi mwenzangu anahasira sana kiasi cha kushindwa kuzicontrol. Kuna wakati aligombana na...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Samahani kama unajua tiba mbadala za ili tatizo,au kama una mawasiliano ya daktari mmoja hivi alirusha kipindi ITV akionyesha dawa hiyo inayotengenezwa na mbegu za maboga na asali nipatie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf,ushauri wenu wadau. binafsi shughuli zetu wengine zinahusiana na kushika pesa muda waote huku uraiani. hakuna vifaa vya kuhesabia pesa. na muda mwingi tukiwa tunahesabu pesa za noti huwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu msaada wenu iwapo mtu atakosa usingizi kutokana na mawazo atakuwa na dalili zipi mwilini kwake??? Natanguliza shukrani za dhati kwenu!!!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalamu wa Afya nisaidieni juu ya hili. mimi nina mwaka (1) . tangu niwe na tatizo la kukosa hamu ya chakula, kuhisi kichefuchefu, naombeni mchango wenu hata ushauri wenu nikwanamna gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
heshima yenu wadau! naomba msaada mtoto wangu nimemwona sehemu fulan ya kichwa chake nywele zimetoka km upara hv... naomba mnisaidie tiba asil kwa anayejua kuhusu huo ugonjwa na unasababishwa na nn?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali naomba nisaidie kujua vilipo vituo vya vifaa tiba vya ceragem ukiacha kile cha mnazi mmoja ili nikapate tiba,asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jumapili wanajamvi, Naomba niende mojakwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu alipoanza kuingia period akiwa kidato cha 2 alikuwa anaingia siku 4 hadi 5 but sasa hivi yupo kidato cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bikira ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi (penetrative sex) na si lazima awe mwanamke ambaye atatoa damu siku ya kwanza ya tendo la ndoa. Ni vizuri kufahamu kwamba asilimia...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Natanguliza shukrani kwa msaada na hata ushauri kutoka kwako. Ni hivi: mke wangu ni mjamzito karibu miezi nane sasa. Kinachomtatiza sana ni kupatwa na ganzi ya mara kwa mara. Yaani viganja vya...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
​ Karibu asilimia 20 hadi 40 ya wagonjwa maumivu hayo huweza kuisha yenyewe, iwapo vipimo havijaonyesha vivimbe au uvimbe kwenye titi basi dawa hutolewa ili kutoa maumivu hayo. Zipo dawa za...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii habari niliisikia mara ya kwanza kwenye baa moja Arusha. Wahudumu wa baa walikuwa wanamshauri mwenzao aliepata mimba, badala ya kwenda kwa dakitari kutoa alipe pesa nyingi, aende kwa mtu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau ni kituo kinachotoa huduma rafiki kwa vijana haswa kuhusiana na magonjwa ya zinaa, afya ya uzazi, wa virus vya UKIMWI kwa hiari ulazimishwi na kupewa ushaur bure pia hiyo huduma ni BURE na...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Naomba kujua DFP ni nzuri kwa matatizo ya meno? mana ninapata wasiwasi kwa kuwa ile iliyotoka mwanzo kabisa kwenye miaka ya 2004/5 ilikuwa nzuri na iliandikwa ni kinga kwa miaka 20 lakini hii ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…