Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu naomba msaada wa kueleweshwa,, nilikuwa naumwa malaria nikapewa dawa ya museto kwa siku tatu bahati mbaya siku ya mwisho niliyomaliza dawa usiku mbu wapenya net wakaniuma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kuhusiana na mtu kuwa na mawazo kupita kiasi, matokeo yake ni nini katika mwili wake kiafya. Naombeni sana mnisaidie wakuu!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The life style of many Tanzanian is totally different from the way it used to be in the seventies, the eights or even early nineties this may be due to number of reasons but on the major one is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nkijiuliza siku zote bila kupata majibu, hali ya kutetemeka mwili pale ninapotoa haja ndogo hasa kwa wanaume husababishwa nini? Ningependa kufahamu hili wanataaluma. Ahsante
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watu wengi wanaosumbuliwa na Kisukari, Pressure ama vidonda vya tumbo ukatazwa kula baadhi ya vyakula na madaktari, hii haimaanishi kuwa vyakula wanavyozuiwa kula havina umuhimu kwao, hapa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanajf?, wataalamu naomba mnisaidie mimi nina alergy na nyama ya n'gombe nikila napata mafua makali na kifua, nauliza hivi kuna dawa ya kutibu alergy au dawa ndio kuacha kula nyama milele...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari? wanajf. naomba kujua athari zitakazo mpata huyu mdogo wangu anyebwia ugolo kwa fujo. yaani imekuwa kama dawa. nimdogo wangu mmoja ninayeishi naye. alianza kwa kunusa puani kama akina...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
jaman naombeni tiba au dawa ya kutoa au kufuta kbs mistari ya mazimoro
0 Reactions
1 Replies
5K Views
inachukua muda gani ambapo ni mapema sana kwa mtu kubeba mimba baada ya kujifungua kwa opparation, nimebeba mimba baada ya ya miezi 4 kuna tatizo hapo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, tangu azaliwe sijawahi kumpa dawa ya minyoo, na kama mjuavyo watoto wa umri huu kila anachoona anataka aweke mdomon. Je naweza kumpa dozi ya...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Miezi kadhaa sasa imepita..napata maumivu makali sana mgongoni na chini ya kifua hasa nikiwa nakula..nahisi chakula kama kinatonesha kidonda...nimezunguka hospital nimefanyiwa kipimo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima ndani ya jukwaa. Ni furaha ya kila binadamu awe mwanamke au mwanaume kuwa na watoto lakini ikitokea kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu bila kufanikiwa kuwa na...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Vasectomy ni oparesheni ndogo inayofanywa kwa mwanaume kama njia ya kupanga uzazi. Mshipa maalum(vasa deferentia) wa kusafirisha mbegu za kiume(sperms) kutoka kwenye pumbu hukatwa na kufungwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa suala la unene wa kupita kiasi (obesity), limekuwa tatizo kubwa duniani kuliko hata tatizo la njaa. Takwimu zilizopo zinaonesha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba msaada wa tafsiri ya dawa hizi 1.kusti 2.kamla abiadhi 3.sufa 4.kamla aswed 5.zamda 6.kalkam 7.nazilinji 8.balinji9.habilinji 10sakabanji 11.hazpaz 12hazmal 13.kuzubaza14. bakhalhadi
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Kwa wale wenye weusi wa Kikwapa tumia Limau kuondowa huo weusi. Angalia picha hapo chini.
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda huu! Napenda kujuzwa kwamba kama mtoto mchanga wa siku kama tatu hivi akilia huwa ni lazima atoe ulimi nje?? Na asipotoa ni tatizo au MziziMkavu saidia please
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Ndugu wanaJF, naombeni msaada wenu kwani najua hapa ndo tegememeo langu kwa hili tatizo. Kiukwel ndugu zangu nimekuwa nikisumbulia na homa ya kuumwa sehemu zote za viungo za mwili wangu pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamii, Je una tatizo la kitambi, mikono mikubwa na uzito kua mkubwa? nina bidhaa bora kabisa za asili. Zisizo na chemicals zitakazoondoa tatizo lako ndani ya mwezi mmoja tu na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
1. Hukufanya ujisikie vizuri 2. Huongeza uwezo wa kujifunza 3. Hujenga uwezo wa kujistahi 4. Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi 5. Huuweka mwili wako kuwa unaofaa (fit) na wenye uwezo 6...
7 Reactions
26 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…