Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kumekucha tena toka nje na upate tiba ya asili kwa jua la asubuhi**ni chanzo kizuri cha asili cha vitamin D mwilini.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbali na kuwa chanzo kikuu cha magonjwa ya moyo, watafiti sasa wanasema kwamba unene ukiwemo ule wa futufutu (obesity) ni kisababishi kikubwa cha aina mbalimbali za kansa. Kwa mfano, watafiti sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hospital Visits May Be Making People Sick While several steps have been taken to make hospitals safer for patients, the danger of complications and people getting sick from hospital visits still...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habar zenu,polen na majukumu mimi Ninaish na mume wangu huwa na kawaida ya kupitiliza cku, sasa mwez uliopita nilipitiliza mwez mzima,sasa leo saa kumi na mbili tulikutana kimwili imefika mda huu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nimekuwa nikitafuta kupata starehe ya kweli japo siku moja. Moyo wangu unahisi kuna raha ipo nzuri. Nimefanya sex mara kibao na wanawake wa kila namna. Lakini sijapata real starehe...
3 Reactions
58 Replies
12K Views
Kila siku tumekuwa tukisikia waganga wa kienyeji wakipigia chapuo dawa za kuongeza nguvu za kiume. Mimi nina tatizo la nguvu nyingi za kiume ambazo naona sasa zimenilemea na kunitesa sana. Wingi...
1 Reactions
73 Replies
9K Views
wadau tafadhali naombeni ushauri. Mwanangu anasunbuliwa sana na mafua na kukohoa kwa muda mrefu richa ya dawa mbalimbali nilizo mpatia kutoka hospitali, lakini bado hajapona huu ni mwezi wa 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katka kupgapga gem za mchangan uyu mwenzang akanasa(anahic ana mimba ya km 2weeks) worse enough ametoka kuachisha kunyonyesha km 2month ago. nifanyaje ili arud hal yake ya kawaida kuepusha madhara?
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Akina dada naomba niwajuze machache huenda yakawa msaada kwenu. 1.Usitumie sabuni yeyote yenye chemical kujisafishia sehemu za siri(hupelekea kuu walinzi wa maeneo hayo na kukusabishia fungus...
8 Reactions
43 Replies
23K Views
Jamani wana MMU nilikuwa naomba maoni yenu na ushauri wenu juu ya hili swala. Mimi bwana nashindwa kujielewa kutokana na pindi ninapofanya mapenzi huwa nachukuwa mda mrefu sana mpaka kufka...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
TETRACYCLINE popularly called "red and yellow capsule" in places like Nigeria is an antibiotic and one of the medications that have been seriously abused. It's a first choice for many...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hili tafadhali atujulishe itakua msaada kwangu na kwa wengne
0 Reactions
14 Replies
7K Views
matunda ninanyo changany ni 1.embe 2.karoti 3.tikiti maji 4.parachichi 5 papai 6 nanasi 7apple 8peasi 9tango 10 ndizi 11chungwa 12 zabibu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kwa anaejua hli naomba msaada nina matatizo ya kutokwa damu nyepec na nyekundu sana uken ikisindikizwa na bonge. Tatizo hli limeanza tangu mwaka jana mwez wa tatu cku mbili baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maajabu ya juisi ya Ubuyu Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote...
3 Reactions
15 Replies
36K Views
Nina degree ya Bsc. Ed biology and chemistry with lower second nataka kusoma degree ya pharmacy or doctor je nitakubalia muhimbili au niaze na diploma ndio niende degree? Naombeni uxhauri wataalamu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
nilikuwa nauliza hivi mwanamke au binti akiwa anaumwa tumbo la chini ya kitovu hivi anaweza akawa na tatizo gani au ni tatizo gan huweza kupelekea hyo hali p'se naomba ushauri
0 Reactions
0 Replies
3K Views
'Remote control' contraceptive chip available 'by 2018' By Dave Lee Technology reporter, BBC News...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Naomben msaada wenu mdogo wangu ametahiri tangu mwez wa sita mwanzon (likizo inaanza) mpaka sasa mwez july shule inakaribia kufungua bado kidonda akionyesh dalili ya kupona..naomba mnsaidie dawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naombeni msaada wakuu mimi ni mwanamke wiki sasa nasumbumbuliwa mishipa kuuma na mkono unaganzi na maumivu yamiguu mpaka chini ya nyao kwa anaefahamu naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…