Habari za saa hizi wakuu,
Niende kwenye mada husika. Nina mwaka wa tano naumwa sana tumbo na maumivu yakiwa yanahama sehemu mbalimbali za tumbo wakati mwingine kifuani, kwenye, mbavu na hata...
Maelezo haya yameegemea katika upande wa nadhari ya HIV/AIDS kwamba ni nadharia ambayo ni ya uongo/utapeli. Maelezo haya hayatolewi kama ushauri au maelekezo ya kitabibu.
Mleta maelezo haya...
Nauguliwa na mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu, anatapika na kuharisha kila akipewa chakula tangu juzi. Nilimpeleka jana kwa dr Koya pale Lumumba wakampa dawa lakini sioni nafuu yoyote na dawa...
Utumiapo malimao ma2; carote2; tangawizi2; Na vitunguu swaumu viwili ukavisaga kwa pamoja kwnye blenda na kuhakiksha zinatoka glass 3 then unywe mara 3 kwa siku kwa muda wa siku tatu. Kufanya...
Yani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana.
"aaah huyu haonekani kama ana ukimwi".
"aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi"...
Habari wakuu mke wangu baada ya kupatwa na dalili za uchungu tumemfikisha hospital saa nne usiku, baada ya kufika akapimwa njia ikiwa centimeter 3 uchungu ukiwa unamuijia na kupotea baada masaa...
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa)
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza...
Wasalaam wana jamiiforum
Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji.
Na...
Heshima kwenu wanajukwaa.
Leo nataka niwape faida 7 wanazozipata wanaume wanaofanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito "wapiga nondo", kama haujawahi kufikiria kufanya aina hii ya mazoezi naamini...
Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa.
iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na...
Saratani ya Matiti ni nini?
Kwanza, Saratani ni ugonjwa unaosababishwa na kugawanyika kwa seli za kiungo chochote mwilini bila kufuata utaratibu wa kawaida hivyo kusababisha kuzaliwa kwa seli...
Poleni na majukumu.
Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo...
Embu wajuvi na wataalam wa mambo ya sirini mnisaidie, Ni Nini kinapelekea K ya mwanamke tena Bado ni mmbichi, kuwa ya baridi (Yaani joto liko chini mno).
Na tiba yake ni Nini?
Habari za leo wakuu,
Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini,
Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto,
Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa...
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu...
Happy new year beautiful people.
Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.
Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid)...