Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana.
Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯%...
Wanabodi habari za mchana.
Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana!
Naomba msaada...
CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE
Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali...
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sana
wataalamu...
Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote...
Kuna MTU ana shida ya ngozi anatokewa na kipele kidogo kwenye ngozi baada ya Muda kidogo kinabadilika kinakuwa kikubwa kiasi chenye majimaji NDANI yake, akikitumbua kinapona baada ya Muda mfupi...
Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani?
Maelezo ya picha,
Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India
Uchunguzi...
Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia
Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua.
Watoto lakini pia watu wazima...
Jana nilienda hospitali moja kubwa hapa jijini Dar.Nilikuwa nasumbuliwa na homa ikiambatana na maumivu ya mara kwa mara ya tumbo.Kwa maelezo ya Dr. ilibidi aniandikie kipimo flani hivi kinaitwa...
Habari zenu wana jamvi wa urembo na mitindo na kadharika. Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Ningependa kuwauliza kwa wenyeji wa Makambako huku Njombe, Protein Powder au Whey Protein ntaipata...
A lancet study has revealed that obesity is now greater risk to grobal health than hunger.
According to the telegraph, the number of clinically obese people has passed one billion for first...
Unakuta mtumishi wa umma anadai madai mengi sana,kama posho za masaa ya kazi,pesa za kujikimu,posho za uhamisho,pesa za likizo,pesa za safari n.k
Ila kila siku ni danadana mara pesa hakuna mara...
Habari wana jamvi, naomba kueleweshwa namna bora ya kusoma kipimo Cha HIV (rapid test).
Nimenunua kipimo, nikasafisha kidole Kisha nikatoboa na kupima damu, kwenye kifaa hicho, ndani ya dk 10-20...
Habari waungwana,binamu yangu alifanyiwa operation,akawekewe mpira wa mkojo(Catheter)toka wamtoe mpira ule anamaumivu makali kama ya mtu mwenye U.T.I inakaribia siku ya tatu sasa.
Naomba kujua...
Nimejitahidi sana kujikinga dhidi ya huu ugonjwa lakini naona imeshindikana na kwasasa nimenasa.
Tangu jana usiku nilipo anza kuhisi dalili za ugonjwa huu na hapa ninapo andika tayari jicho moja...
Habari wakuu,
Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka...
Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.
Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za...