Nimekuwa nikifikilia jinsi ya kupata tiba ya ukimwi na nikakuta kuwa ukimwi unapatika mwilini mwabinadamu na hasa hasa kwenye damu, nikafikili kama mtu mwenye UKIMWI ataondolewa damu yote yenye...
Habari zenu wana JF! Samahani kwa swali hili. Ikitokea, kijana mtunza mifugo amefanya mapenzi na ng'ombe ambaye yuko kwenye joto(heat period)je kuna uwezekano wa kumsababishia kupata ujauzito?Da...
Kuna ndugu yangu amepata wasiwasi baada ya kuhisi yai lake la korodani ya kushoto limeungana na kitu na hajui ni kitu gani, wana JF tafadhari tunaomba msaada kwa anaye fahamu hii kitu!
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.
Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.
Vipi wakuu bado huu mmea bado...
Jamani wana JF nisaidieni meno yananiuma sana na yametoboka. Nshayajaza ila sasa hivi filter zimeisha, sitaki kuyatoa na siwezi kutafuna kitu kigumu naumwa sana.
Your help please
Habari zenu wanajamvini, naombeni ushauri mwenzenu kila nikila kitu naenda kuharisha kuanzia jumatatu msaada jamani ni ugonjwa gani kabla sijaenda hospital
Dear friend-Pls VOTE for Dr Frank Manase and CCPmedicine-mradi wa kuzuia Kansa ya Maziwa kwa walimu wa shule za msingi waweza fuata link hii kupiga kura-you are welcome to share with friends and...
kuna mtu kaniuliza hili.
Je nini madhara ya mimba kutungwa wakati wahusika wamelewa katika unywaji wa pombe wa mtoto hapo badae baada ya kuzaliwa?
Na madhara mengine yaliyopo.
Kipindupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababishwa na aina ya bakteria aitwaye Vibrio cholerae, Ugonjwa huu ni wa kuambukizwa kwa njia ya viini vinavyoenezwa kupitia kwa kinyesi kutoka...
Salaam wakuu, mwezi March niligundulika kuwa nina vidonda vya tumbo (peptic Ulcer) na daktari akaniandikia dose ya Omeprazole + hyoscine.
Baada ya kumaliza dose hiyo, niligundua kuwa nguvu zangu...
Salaam.
Ndugu wana jf naomba msaada wenu tafadhali, kwa muda usiopungua miaka kama mitano nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara. Nimejaribu kwenda hospital kadhaa lakini...
TATIZO LA KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, KUPUNGUKIWA AU TOKUWA NA NGUVU KABISA ZA KIUME..
NGUVU ZA KIUME NI NINI.
Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa...
Habari zenu wana JF! Samahani kwa swali hili. Ikitokea, kijana mtunza mifugo amefanya mapenzi na ng'ombe ambaye yuko kwenye joto(heat period)je kuna uwezekano wa kumsababishia kupata ujauzito?Da...
Nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private...
Habari zenu wadau. Jumamosi majuzi mwanangu alilazwa hospitali kwa shida ya maleria akiwa na kilo 13. Akadungwa sindano za kwinini akawa mzima tukaruhusiwa lakini daktari akasema anywe kwinini ya...