Jamani wana jamvi naomba msaada wa dawa ya kuondoa rangi nyekundu ya macho maana kuna mkoa mmoja
amabao ukitembelea na macho mekundu unauwawa kama mchawi sasa naomba kama kuna mtaalam anayejua...
Jaman wanajamvi yan mi nikilala nakua kama nimekufa vile sasa huwa jambo hili linaniharibia mipango yng coz mi ni mwanafunzi nikisema cku nilale hlfu nishtuke ucku nijisomee hata nikitegesha alarm...
Jaman naombeni kufahamu tatizo la kuumwa na mbavu mana huu mwaka wa 15 mbavu zaniuma. Hosptal walinipga Xry hakuna tatizo wakawa wananipa pain killer tu miaka inaenda naumwa bado hiki ni nn cjui
Madaktari naomba niwaulize,mimba inaweza kugunduliwa imetungwa baada ya siku ngapi?
Nimeuliza maana kuna binti nilikutana nae alhamisi,jana akaniambia ana mimba,tena anadai yangu,hili sio...
Kuna mtaalamu wa kufunga mikono na miguu iliyovunjika kienyeji, mkono/mguu haupindi na unapona haraka
na ukikosewa kufungwa hosptali ukienda kwake anakuvuja na kukufunga upya....
Habari zenu wana wa MMU
"Ndoa inakaribia kunishinda kwani sioni maana ya kuowa nikiowa nijistiri kwa kila kitu ila wapi naona ndoa imeanza kulegalega na usaliti unaingia ndani"
Tatizo ni mke...
Habari zenu wakuu, samahani naomba kujuzwa juu ya hili. Dalili za mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi vinaanza kujitokeza baada ya mda gani baada ya maambukizi?? Na je inawezekana ukatembea na...
Heshima mbele wakuu..
Nina mwezi wa tatu sasa nikiamka tu alfajiri wakati naenda haja ndogo lazima nigonge mag moja ya maji then narudi kulala.
_hii nafanya kabla hata sijaswaki na baada ya hapo...
Kwa walio na matatzo ya kukojoa mara kwa mara(urine encontinence),nina dawa ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa wiki tatu(3)tu,ni dawa nzuri sana ya mitishamba,kama unasumbuka na kuhangaika...
Habari zenu waungwana. Naomba tumsaidie huyu binti alieniuliza swali hili, anasema mp yake kila mwezi inabadilika, yaani kama mwezi huu imekuja tarehe 20 mwezi unaofata inaweza kutokea tarehe 10...
Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 kuna mabadiliko yalitokea katika maisha yangu japo sio makubwa saana ila yamenifanya nijiulize maswali mengi ya kibiolojia sasa naomba madaktari na...
Habari wanaJf katika jukwaa hili, nahitaji msaada wenu tafadhali; nasikia maumivu sehemu palipo na nywele za siri. maumivu hayo nayaskia zaidi nikiwa nimekaa nimetulia au nikiwa nimelala.
Hili...
Nisiku ya 8 leo nasumbuliwa na tatizo la tumbo pamoja na kupata haja kubwa kidogo iliyo changanyikana na damu damu au kama asali fulani ivi pamoja na maumivu wakati wa kujisaidia.....nilikwenda...
Kwa walio na ugonjwa wa homa ya manjano,ninadawa inayotibu ugonjwa huo kwa siku saba(7)tu,nidawa ya asili(mitishamba) nzuri sana inayosaidia watu wengisana,Ukianzaa kutumia dawa hii ndani ya siku...
Kila siku naamka asubuhi uume wangu umesimama(imedinda) na kukuta uute umetoka umelowanisha nguo kiasi je hili nitatizo? niwekeni sawa najua humu madoctor wengi
Wapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan...
Happy easter jaman.....!
Kulingana na maneno ya watu wanasema pilipili inapunguza nguvu za kiume, imani yangu inanifanya niamini maana ukila pilipili halafu kama ni mwana riadha ni lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.