TOFAUTI na vyakula vingine, ndizi zinafaida kubwa sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ndizi zina virutubisho vya aina mbalimbali kama vile, protini, mafuta...
heshima wadau. Hivi mtu unaweza kubadilisha damu yote mwilini? Kuna watu nasikia huwa wanakwenda kubadilisha damu nairobi na nchi za nje. Kwa wataalamu naomba kuelimishwa hii process nzima...
Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1.
Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa...
Kwenu wataalam
Mke wangu ana malaria na ni mjamzito nimempeleka hospital jioni hii kapewa vidonge vya malaria lkn tumerudi nyumbani amekula na baada ya kama saa moja hivi kameza vile vidonge lkn...
Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
Habari zenu wadada wenzangu.mie naomba mnisaidie Mdogo wangu ana tatizo la kutokua na mzunguko mzuri Wa hedhi.Anaipata miezi 2 alafu inakata tena baada ya miezi 3 ndo anaiona tena.kwa madaktari...
Matumizi ya vyakula na vinyaji vyenye sukari nyingi za viwandani kama vile soda, chocolate, juice zisizo halisi, nk, ni hatari sana kwa afya yako, hasa afya ya mahusihano,,,sisi tunatoa ushauri na...
Kuna mtoto mdogo wa miaka minne ambaye utosi ulishaacha kupiga kwa muda mrefu, na hivi sasa amekuwa mvulana mkubwa hadi ameanza masomo yake ya chekechea, lakini ghafla utosi wake umeanza kupiga...
Forever Living Products was founded in 1978 on little more than dreams and hard work. It was designed to help anyone who wanted a better future to attain it on their own.
Better health...
habari wakuu.nina wanangu wawili wanasumbuliwa na ndimi(kama ndio wingi wa ulimi).wanachubuka kama mtu aliyekunywa chai ya moto sana,lakini hawalalamiki maumivu.tatizo hili huja na kupotea baada...
BAADA YA KUSUMBULIWA NA UVIMBE WA TUMBO KWA MIAKA 47,AFANYIWA OPERESHENI YA MASAA 7 NA KUTOLEWA MAWE TUMBONI"MAJABALI"
Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika...
Habari zenu wadau wa JF dokta...
Natafuta hospitali au kituo cha afya ambacho anayepiga picha za ultrasound hasa kwa akina mama ambaye naye ni mwanamke..
Kwa anayeijua anijuze tafadhali kwani...
Hi Wana JF!
Nilikuwa naangalia Luninga wakati fulani, nilikuta issue mezani inayohusu Transgender ktk kipindi maarufu cha 'The Patricia Show' ktk channel ya M-Net, Magic Africa. Mbele ya Mama...
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Wanajamvi nisaidieni ktk hili,hivi ni lini mama mjamzito anatakiwa aanze kwenda clinic?
Je,sindano za tetenasi na vidonge vya madini chuma anatakiwa aanze lini...
MTANZANIA DAKTARI ANAYE FANYA KAZI YA UDAKTARI NCHINI UTURUKI MJINI ERZURUM
Mtanzania aliyesomea Udaktari nchini Uturuki Daktari Ahmed Mbarak miaka 39 anafanya kazi nchini Uturuki na ameowa...
VYAKULA VILIVYOUNGUWA (CHIPS) VINASABABISHA UGONJWA WA
KENSA TUJIHADHARI SANA KULA HIVYO VYAKULA.
Wanasayansi wanasema kuwa wanawake ambao hula chips au 'crips' kila siku wanaweza kuongeza mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.