Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wanajf! Nategemea msaada mkubwa sana kutoka kwenu; nikijua siwezi kupata msaada mwingine zaidi ya hapa. Mie ni mkazi wa iringa ingawa sasa nipo Dodoma kimasomo. Nina tatizo la koo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hi JF Doctors..! Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
I need to know medicine of Kidney Cyst without surgery because im afraid concerned SURGERY help me other treatment which could help me without surgery. Welcome
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJf. Kuna binti aliumwa na tumbo kwa muda, baada ya masaa kadhaa akaaza kuharisha uku tumbo likimuuma sana badae akatapika mara moja. Ila tumbo likaendelea kumuuma. Ila tumbo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema...
0 Reactions
35 Replies
13K Views
Jamani naomba msaada hivi hamna dawa ya kuondoa uvimbe katika figo bila ya kufanyiwa operesheni naomba msaada wenu kama hiyo dawa ipo mana operesheni za siku hizi haziaminiki mara dokta kakosea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada membersjoints za mabegani ukizungusha mkono joints zinatoa sauti hadi mtu uliyenae karibu anasikia sauti vile vile huambatana na maumivu makali msaada anayejua ugojwa huu na matibabu yake
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. kuna mtoto wa rafiki yangu ana miaka kama mitatu amepaliwa au alibanwa pua ili ameze chakula , chakula kikabana njia ya hewa.. _Hali kama hii ikitokea huwa inakuweje?kwani...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana Jf naomba kufahamu kwa nini wajawazito wengi kwa sasa wakienda kujifungua wanaishia kufanyiwa upasuaji?cjui kama ntakua nimeweka swali sawasawa..lakin naamin ntakua nimeeleweka..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wana JF msaada please!! Nimekuwa nikijichua zaidi ya miaka 6 (sita), na sasa sina nguzu kabisa za kiume na zaidi kutokana na tabia yangu hiyo nimekuwa mwoga kila sekta nataman kuacha lakin...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Bwana YESU apewe sifa, Asalaam aleykum. Wadau mimi nina shida. Nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno, tumbo na miguu. Nina mtoto mmoja mwaka mmoja na miezi kumi sasa. Na nina kipandikizi cha kuzuia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba ushaur wenu jaman mm ninaujauzito lkn ninamatatizo ya kutokwa damu uken cyo nying sana pia haitok mara kwa mara pia ujauzito wangu ni mkubwa tu na ni cku za matarajio na damu hzo zimeanza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITABIBU TIBA MBADALA Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji.Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Naomba kuuliza wataalamu wa afya kuhusu unywaji wa kahawa chungu ambazo watu hunywa na kashata. Je haina madhara kiafya? Nilijaribu kuonja siku moja nikaona ni chungu mno lakini watumiaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF me ni mtoto wa kwanza familia ya watoto 5 ila nina ndugu yangu nikikojozi huu mwaka wa 20 .msaada wa mawazo na dawa ili tuondoe tatizo ili € hello tanzania kuwa mzalendo sambaza upendo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi JF Doctors..! Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Hi JF Doctors..! Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
TATIZO LA KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, KUPUNGUKIWA AU TOKUWA NA NGUVU KABISA ZA KIUME.. NGUVU ZA KIUME NI NINI.Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nambieni wadau,poleni na michakato ya katiba mpya na mvua hili duh ni noma(Niwaombe tu msikitumie hiki kipindi cha baridi na kushinda ndani vibaya itakula kwenu). Pamoja na maisha kuwa magumu bado...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom