Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi; nimeambiwa mbegu...
0 Reactions
73 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote yule mwenye uelewa au anayejua tiba, ni kuhusu hizi ndoto nyevu kwa kweli hii sasa imekua too much hadi nahisi nina ugojwa kama sio matatizo...
1 Reactions
45 Replies
15K Views
Hi JF members, Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 na wiki kadhaa lakin chunusi zimemtoka usoni (vichunusi vidogo vidogo lakni vingi), na hii ndio mimba yake ya kwanza. Kabla ya ujauzito usoni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dk Kishiwa akiwa na mkewe, Mwajabu Chuma. Picha na Kalunde Jamal. KWA UFUPI Huyu si mwingine bali ni Mark Paulo Kishiwa ambaye kitaaluma ni daktari, aliyewahi kufanya kazi Hospitali za Kasulu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
salaam wakuu. Nina dogo anakaribia 2 Anasumbuliwa sana na hilo swala nimejaribu kutafti kwenye website flani za afya wameshauri 1.Masturbtion na 2. To have sex mara kwa mara. Kwa mm vyote no...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, ninaomba msaada katika hili. Siku nne zilizopita nilimpatia mwanangu dawa ya minyoo(Albendazol, two days dose) baada ya dozi aliendelea na normal dieting, sasa toka hiyo...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Mm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu. Ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
menstrual cycle yangu Haiko sawa jee mtu kama hvi kuna uwezekano wakubeba mimba? au nitatzo gan linamfanya haiko sawa na ni siku gan zitakua za danger naombeen msaada plz sijui nifanyeje na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wanajamvi Nimeoa mwaka mmoja uliopita.Tumefanya juhudi za kupata mtoto mimi na wife wangu lakini bila mafanikio. Tulijaribu kumuona doctor akasema mke wangu ni mnene na kizazi chake kina mafuta...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nimeona watu wengi wazee kwa vijana wa rika fulani wakiwa wametoka ywele masikioni na puani yaani ndefu sana kiasi kwamba zinakera hata kwa mtazamaji, sasa swali nywele hizi zinasababiswa na uzee...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
We've become a duped nation. We'll believe anything that we read in a magazine or on a trendy website, without ever doing research. Fitness and fat-loss myths are hugely popular, but there are a...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari zenu wana Jamii Doctor Nimekuwa nikisumbuliwa na Tatizo la kiuno kuuma kama nimeteguka hivi, iwapo nimeinama muda mrefu, ama nimeinuka kwa ghafla. muda mwingine nikilala chali basi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa katika hali hiyo huwa na hasira sana, na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Samahi sana wa jf japo hicho kichwa cha habari huenda hakijakaa vizuri nina mjomba wangu ana umri wa miaka 4 hivi sasa huyu dogo toka azaliwe huwa anasumbuliwa na tatizo moja anapoenda haja kubwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Kwa kipindi kirefu mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la maumivu wakati na baada ya kujisaidia. Ameenda hospitali akapewa dawa ya kupaka ya diclopar(kwa ajili...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HAPA hutokea hali ambayo nyama zinaota na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya misuli ya kizazi ‘Ectopic Glandular tissues’. Awali tatizo hili liliitwa kitaalamu ‘Endometriosis Interna...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
SHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA INI Mapaparazi kazini. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) na Mwakilishi kutoka Sanofa, Edwin Kisimbo, wakifuatilia kwa makini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna dada kaniomba ushauri, anadai anaujauzito wa siku 90 , anashindwa kula na anatapika kupita kiasi, nimemwambia nitamjibu baadae nililete kwa wadau kwa ushauri ili niwe na jibu zuri la kumwambia
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom