Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba mwenye kujua dawa ya jicho anambie, jicho lilianza kitu km mchangabaadae likaanza kuvimba hlf linatoa machozi tu muda wote. Nimeenda hospital nimetumia dawa aina 3 . Chloramphenical eye...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu nimekuwa nikipata tabu sana na namna ya kuhifadhi Parachichi kwenye friji pale unapoyakata na kushindwa kula ukiamini kwamba ukiweka kwenye friji kesho yake yatakuwa fresh, lakin badala yake...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Jamani msaada wa tiba ya meno maana yanasumbua watu wengi saaana mwenye uelewa jamani msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa mwaka wa 17 sasa na tumejaaliwa kupata watoto wanne wote wa kike. Kutokana na uzazi wa mke wangu kujifungua kwa operesheni...
1 Reactions
81 Replies
12K Views
Jamani zamani vipala walikuwa wanatoka wazee sikuhizi kija mika18 kashotoka kipala niugonjwa au!?? Nijuzeni..
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nahitaji tiba na ushauri kuhusu hili.Kuna vipele(sundosundo) vimetokea sehem za siri kwenye ringi ya ume wala haviwashi ni miaka 5 sasa. Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ndugu zanguni, wanabodi! Mke wangu ni mja mzito na kwa mujibu wa clinic yake na amepima pia kile kipimo cha utra sound na ikajulikana kwamba angejifungua tarehe 3 ya mwezi wa nne, cha ajabu hadi...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Mimi nina mama yangu mzazi nilimpeleka hospital wakamwambia anavidonda vya tumbo akaendelea na tiba sasa anasema anasikia harufu kali sana hata saa nyingine tumekaa naye anaziba pua anasema...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wa hii hali nilonayo, nna ujauzito wa miezi mitatu na nusu ila nahisi kama kiumbe kinacheza tumboni na mtikisiko wa tumbo huonekana hata kwa kuangalia tumbo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello bandugu. Naomba kupata msaada wa kitaalam. Nimekua nikisumbuliwa na maumivi katika unyayo wa mguu wangu wa kushoto. Ninapotembea na kukanyaga sehemu yenye bonde ninapatwa na maumivu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kike nina tatizo la kupata uvimbe ukeni baada tu ya kumaliza siku zangu kuna mtu nlimwambia akanambia labda inatokana na pedi ninayotumia lakini nilibadilisha na bado tatizo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
The 12 worst kind of people you'll encounter on public transport View PhotoYahoo News/Getty - The London Underground: Testing (Getty) Campaigners against the ‘Women eating on the Tube’...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mamboz . Natarajia mko poa wadau.. Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari madaktari, jamani naomba mnisaidie, nimejifungua mwezi wa kwanza mwaka huu, nimekaa kama mwezi hivi nikiamka asubuhi kisimi kinanium mfano wa jipu linavovuta mpaka nakosa amani naomba...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mke wangu alitumia dawa ya metro, kumbe alikuwa ndo anaconserve mimba, sasa tumbo linamuuma, kiuno, kutapika na kuhc bleedng nisaidie doctor tatizo nin? Na km mimba ikiendelea kukua mtoto atakuwa...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Hivi kuna vipimo vya kitaalamu vya magonjwa ya kurithi? hospitali zipi wanapima na gharama zake zipoje? shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari waungwana. Nimekutana na uzi ukitembea jukwaa flani juu ya mada inayofanana na hii, basi nikaona niulize swali langu linalonitatiza kwa muda mrefu kama linavyosoomeka hapo juu nikiamiani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina tatizo la kiungulia kila ninapokula chakula chochote ambacho ni fresh, after five minutes kinaanza kunichoma sana, nimeenda hosp several times wananiambia nina dalili za vidonda vya tumbo...
1 Reactions
33 Replies
69K Views
Naomba kushirikishana juu ya kuzingatia afya zetu najuu ya kumuamini dactari mmoja, hapa Morogoro mjini, ninandugu yangu alipimwa na dactari na kuambiwa anauvimbe mkubwa tumboni, amefanya checkup...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili... Napanda jukwaani nikiomba msaada wa jinsi ya kumsaidia mke wangu ambaye ni mjamzito,namna ya kupunguza kutapika kwani anatapika sana...vp kuna dawa anaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom