Wadau, niko wilaya ya Masasi Mtandi niliyoyapata tangu jana na hata asubuhi hii nimeona vyema tugawane kwani kitamu kula na mwenzako.
Panya ni kitoweo kinachoheshimiwa sana na wamakuwa na...
Naomba mnisaidie nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu,alienda hospital akapimwa akakutwa na uvimbe (fibroid) akapewa dawa lakini maumivu yakawa palepale baadae...
Wakuu habari za leo,naombeni msaada wenu hapa mpenzi wangu alianza kuona period isiyo rasmi(alikuwa anaona damu ikitoka vidoti vidogo vidogo kwa mda wa siku 3 kuanzia tar 29/03/2014 mpaka...
Karibuni !
Natural penis enlargement exercises are a time honored practice that can be customized to address your particular area of concern. Remember, your result can be maximized with libido...
In a north London hospital, scientists are growing noses, ears and blood vesselsin the laboratory in a bold attempt to make body parts using stem cells. It is among several labs around the world...
10 Important Nutrients Every Woman Needs
Everyones nutrient needs are not exactly the same. While most people benefit from the same vitamins and minerals, a womans needs can be a little...
Kabla ya natanguliza shukrani zangu kwa ushauri ninaoupata mara kwa mara ndani ya majukwaa mbali mbali ya jamii forum
Tafadhali kuna tatizo linalonisumbua la kukoja mkojo wa kawaida kila...
ANGALIA PICHA MAMA ALIYECHOMA SINDANO YA KUKUZA MAKALIO HATIMAE IKADHURU
Apryl Michelle Brown, 46, mother-
My quest for the perfect bottom left me with NO LIMBS': Mother's botched...
Habari wakuu kuna sehemu nimezsikia hizo food supplmentary ,sasa nilikuwa nauliza hivi hazina madharan yeyote kweli ?
Kwa sababu uzito wangu upo chini so nahitaji kuongeza uzito kidogo then...
Kwenu wana JF,
Nimekua nikitokwa na vipele kama vijipu uchungu kwenye mapaja yangu kwa musimu,yani kinaweza kutokea kipele kimoja au viwili,kikitokea eneo lilipokizunguka panakua pekundu baada...
Habari za jioni ndugu zanguni?,Nina mzee wangu anasumbuliwa na magonja ma2 kwa wakati m1, magonjwa yenyewe ni kisukari na madonda ya 2mbo naombeni anae faham dawa anisaidie hata ya kienyeji make...
Jaman wadau naomba kujuzwa juu hili tatizo kwa watoto,mwanangu ana mwaka sasa lakini utosi wake bado haujafunga na mara nyng panavodunda sn analia sana,sasa cjajua kama hii kitu ni kawaida au ni...
Habari wanajamvi,
Nina kijana wangu ana miaka 8 mpaka sasa ananyonya kidole sana mpaka akilala, nimejaribu kumkataza sana, hana dalili ya kuwacha, nikawa namchapa ninapomuona ananyonya! lakini...
HABARI ZENU WANA JF;
Husika na kichwa cha habari hapo juu kama unafahamu au ijua dawa ya haraka ya maumuvu ya goti unisaidie jina lake niitafute,ila ukumbuke haya maumivu hayaja tokana na ajari...
Tunaotoa huduma ya tiba kwa maelekezo ya mazoezi ya mwili, mpangilio wa chakula na miti dawa ya asili,,
Magonjwa tunayotibu ni vidonda vya tumbo ( Ulcers) maumivu ya tumbo, tumbo kujaa gesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.