Dengue fever or Denge in Swahili is a disease caused by a family of viruses that are transmitted by mosquitoes. It is an acute illness of sudden onset that usually follows a benign course with...
THE VAGINA IS CLEANER THAN THE MOUTH
Yes, the fact is that the vagina is 10 times cleaner than the mouth! It has its own mechanism and self regulatory system that keeps it in check every now and...
Wadau!
Hii nimeinyaka pande za barabara ya ali hassan mwinyi karibu kabisa na dar free market.
Ipo hivi. Pale karibu na dar free market kuna kitu kama onyesho fulani hivi la mambo ya miwani...
Nini husababisha maumivu sehemu za uume?
Ameshatembea hospitali nyingi na kupewa dawa ambazo mpaka sasa hazijamsaidia chochote na maumivu bado yapo wakati wote!! any specialist unayemjua...
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka...
Ujio wa ukoloni umeathiri sana mwenendo mzima wa hali ya afya kwa Waafrika wengi. Mojawapo wa athari za ujio huu ni kupandikizwa katika akili za Waafrika dhana kuwa kila kitu kilicho cha asili ni...
Habari, Hii siku ya tano sasa nikienda kukata gogo kwa choo harufu inayotoka si mchezo, mi mwenyewe nataka kukimbia, utadhani mfereji wa maji machafu. Jamani ni tatizo gani hili!!.
Poleni na majukumu ya leo wakuu. Tatizo langu ni kwamba nikikaa kama wiki moja bila kusex au nikiwa kwenye maandalizi ya kufanya sex halafu ikashindikana napata maumivu makali sana ya kiuno...
Habari....
Mtoto wangu wa kiume ana miezi 2 toka azaliwe....anasumbuliwa sana na tumbo....wengine wanasema ngiri, wengine wanasena chango....kitovu chake ni kikubwa kiasi (kama golori) lakini...
Habarini za jioni wakubwa, nina mwanangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu.
Huyu dogo kiukweli simuelewi naona kama mambo yake ni ya kikekike, mara anabeba midoli mgongoni kama...
Wadau mpo hamjambo?
Napenda kuwashirikisha katika tatizo hili linalowapata baadhi ya watu ambapo wakipatwa na jeraha hata dogo basi likipona ngozi inainuka na kuunda ngozi ngumu inayoendelea...
Habari zenu wapendwa, naomba mnisaidie orodha ya vyakula na matunda ambayo nikitumia naweza pata calcium na vitamin D kwa wingi ili niimarishe afya yangu, mimi ni mja mzito na ni miezi mitatu sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.