Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mkaa wa mianzi ni mashuhuri sana katika shughuli mbalimbali za kitabibu, wenzentu katika nchi wanazothamini tiba asilia wamekua wakiutumia mkaa huu katika shughuli kama kuua nguvu ya sumu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwanamke anatumia njia ya uzazi wa mpango ya sindano (ya miezi mitatu) ila tangu apate hedhi yapata mwezi sasa bado anavuja damu tu. Tatizo ni nini na nini kifanyike? Natanguliza shukurani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mmmmmh, jjjh pqh jph
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Matiti kutokwa na majimaji na wakati mwingine kunakua na kama kuna maziwa hajawahi toa mimba wala hajawahi nyonyesha amekua na tatizo hili kwa mda mrefu tangu 2008 mpaka sasa bado,amejaribu...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kabla ya kuchangia damu,mbali na wingi wa damu kuna magonjwa gani mengine wanaangalia?Ni magonjwa gani ukiwa nayo damu yako haichukuliwi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilisoma humu namna ya kutibu maumivu ya kichwa kwa njia ya asili basi baada ya maumivu ya kichwa kunianza jana nikafuata ushauri wa tiba asilia kama nilivyosoma humu huku nikiamini...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
I just need to know sababu ya mwanamke kupata uvimbe kweny Ovary na na nn chanzo cha uvimbe huo na unaweza tibika bila upasuaji?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
I thought this was interesting to share!!!:thinking: Every one of us suffers from forgetting things from time to time, and it's perfectly normal. Scientific studies have established that perfectly...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Wana Jf ili uishi maisha marefu fanya yafuatayo 1.fanya mazoezi ya viungo 2.kunywa maji ya kutosha safi na salama 3.tumia mboga za majani na matunda kwa wingi 4.tumia kwa wingi nafaka zisizo...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma. Jenga tabia ya kufanya mazoezi: Mwili wenye...
3 Reactions
25 Replies
39K Views
kwa nini wanawake wengine wa moto wengine wa baridi hasa sehemu za siri na kuna ukweli wowote kuwa wanawake wenye maziwa/matiti madogo ni wa baridi sana? kama ni kweli ni nini tiba yake.msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini za asbuh madoctor!, nina dada yangu mwenye tatizo la sikio la kulia anajiskia kama kuna kitu kinamuumiza alaf ukiangalia skio kwa ndani unaona kama mdudu flan ama kupe ndogo, kiroboto au...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanajamvi kumekua na imani tofauti katika jamii zetu,moja ya imani hizo ni mama mjamzito kuzaa mtoto mchafu endapo ataendelea kufanya mapenzi katika miezi ya mwishoni kuelekea kujifungua,naombeni...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari zenu. Wadau, mafuta ya nguruwe yana chembe hai nyeupe ambayo yakitumiwa vema basi huweka kinga ya kutosha mwilini. Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha mafuta ya nguruwe na kuweka kitunguu...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
wakuu, ni natumaini kuna wataalamu wa kila aina hapa. Hivi karibuni nimekuwa kijisikia mabadiliko Fulani Mara tu nitumiapo Tangawizi iwe kwenye nyama au Kitu chochote hata soda. Nilimtumia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipindi cha 18 Matatizo ya Kiafya ya Kawaida wakati wa Ujauzito Utangulizi Katika kipindi hiki, utajifunza kuhusu matatizo matatu ya kawaida ya kiafya wakati wa ujauzito na athari zake kwa afya...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
Tatzo hili limegawanyika ktk makundi mawili,kundi la kwanza kitalaamu huitwa"PRIMARY INFERTILITY".Ni kundi ambalo hujumuisha wanawake ambao hawajawa kubeba mimba yoyote ktk maisha yao.Kundi la...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anamfaham daktari wa wanawake hasa mambo ya kizazi kwa mkoa wa Arusha anisaidie contacts zake na yuko hosiptali gani.
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani mwenye dawa ya meno anisaidie. Nina umri wa miaka 48 nimeshatoa meno manne na mengine yanauma. Naomba ambaye anajua dawa ya meno ya kuzuia meno yasishambuliwe na wadudu anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom