Jamani wadau nina ndugu yangu anauoga ulipitiliza, ni kijana ambae naona akiendelea hivi kwa miaka hii anaweza akaliwa 0713 kabisa kwan hajiamini kabisa anaweza hata akakusalia hata mara tano kwa...
Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo...
Heshima zenu wakuu lengo langu langu la kuanzisha huu uzi ni kuku sanya tiba mbadala za magonjwa mbalimbali .Kama unafahamu gongwa lolote na tiba yake ya asili karibu utueleze ili baadae kila...
Habarini za usiku wapendwa.
Nimekuwa muhanga wa hili tatizo sana hasa nikiwa natembea umbali mrefu kwa haraka najikuta nasweat sana.
Unaweza ukawa ni ugonjwa gani?
Dawa ya kutibu ni nini?
Habari zenu wana JF.
Mimi ni msichana nashindwa kuelewa haswa mzunguko wa siku zangu mana hua unabadilika sn na nahitaji mtoto kwa sasa nashindwa kujua tarehe za hatari za kushika mimba,mwezi wa...
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.
Photo Credit cheeseburger and fries image by sumos from Fotolia.com Cancer is a disease that can be caused by hereditary and environmental factors. While some people develop cancer regardless of...
Utafiti unaonesha kuwa kuchutama ni njia sahihi ya kwenda haja kutokana na faida zifuatazo:
Inafanya uchafu kutoka kirahisi na kwa ukamilifu. Hii huzuia kinyesi kubaki ndani kitu ambacho hutajwa...
Habari wadau,
Ni utafiti usio rasmi na pengine usiokuwa wa kisayansi nilioufanya binafsi,
Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wanaume ambao ni Walevi kupindukia, Si wote.
Wanazaa zaidi watoto wenye...
Hodii wanajamvi ,
Mi ni kiijana mwenye umri wa miaka 26 nimekuwa mfatiliaji mkubwa wa jamii forum katika majukwaa yote hasa hasa hili la JF doctor nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana hadi...
Honey is one of the oldest natural sweeteners people have been consuming, which has a lot of great health benefits that you might not be aware of. Honey has actually a lot to offer, from skin...
Natanguliza shukrani kwenu..ninamtoto wangu wadau,alipofikisha mwaka mmoja na miezi miwili aliugua ghafla nakulazwa rufaa mbeya,alipokuwa hapo alipumulia mashine kwa siku 26.
Na mwezi wa nne...
Heshima kwenu wakuu wote humu jamvini.
tatizo langu ni kwamba,nina mdogo wangu yuko kidato cha tatu.na maendeleo yake sio mazuri kiukwel ukilinganisha na alipokuw kidato cha kwanza.siku hizi...
Ni live kabisa bila chenga siku hizi ukiweka tangazo tu la dawa ambazo hazipo za nguvu za kiume basi wanaume wengi wababa kwa vijana watakusaka kila anga, hii ina prove kwamba vijana na wababa...
Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa Afya.Nakuja kwa mara nyingine kuomba ushauri nikiamini hapa ndio sehemu pekee ambapo huwa napata majibu ya matatizo yangu.Leo ningependa kujua wakati wa...
Kuna stage tatu ambazo mwanamke ambaye anajitayarisha kujifungua anapitia wakati wa labor.
Hizi ni:
Stage ya kwanza ya Labor (Dalili za kuingia labor na mwanzo wa maumivu na kupanuka kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.