Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama umeshika vicks ,essential balm au dawa ya kuchua misuli vidoleni mwako epuka kabisa kushika macho au sehemu za siri kama hujanawa mikono yako kwa sabuni na kama kwa bahati mbaya imekutokea...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
A few times a year it is always a smart idea to cleanse the body. Many people swear by laxatives and colonics; others prefer teas and fasting. But one method that anyone can wrap their head around...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
New Study Find Monsanto's Round Up Weedkiller To Be A Brain-Damaging Neurotoxin A new study reveals a hitherto unknown mechanism behind how the world's most popular GMO herbicide harms the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mi nnatatizo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa. Yaani kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF! Poleni na majukumu ya kila siku, Naombeni msaada tafdhali, ni wiki na nusu sasa sijapata choo, tumbo haliumi ila nina wasiwasi maana hali imetokea gafla sijawahi kuptiliza hata...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wanajamii. Wapendwa, naombeni kwa yeyote yule mwenye ufahamu na uhakika juu ya tiba zifuatazo atujuze na kutupa ukweli wa mambo, ni kuhusu kutibu/kuponya kabisa tatizo la upungufu wa nguvu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya sababu naweza panda...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba hivi ni kweli kuna dawa au shindano inayoweza kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaaa 48 namomba ushauri wadau.
0 Reactions
16 Replies
8K Views
1 – GINGER! (MUSCLE PAIN) 2 – APPLE CIDER VINEGAR! (HEARTBURN) 3– CLOVE! (TOOTHACHE) 4 4– GARLIC! (EARACHE) 5 – CHERRIES! (HEADACHE / JOINT PAIN) 6 &#8211...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
WanaJF naomba yeyote anaefahamu tiba mbadala ya ugonjwa wa kutokwa na vipele vidogo vyeusi mgongoni anisaidie vinanikera sana sababu mgongo wangu uko kama mpira uliochorwa dot nyeusi haviwashi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana..naombeni ushauri wa kiafya!nilikutana na mpenz wangu mpya kimwili nikiwa nimemaliza tu period..na baada ya hapo analalamika anawashwa pia anahisi maumivu makari.kwaiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa wataalam wa saikolojia; hofu na moyo kwenda kwa kasi kabla ya kukutana kimwili ambayo hupelekea hata penis kutosimama imara yaan kawaida yake.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye kujua suluhisho la kiungulia kama ni majivu na yalaga mpaka kero msaada maana haya ninayo yapata mateso.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jaman wadau polen na majukumu ya siku ya leo wengine wanahitaji kupumzika walau akili itulie, Kwa muda kama huu wapendwa wakati mmepumzika naomba mnitatulie tatizo hili. Takriban wiki moja sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama unatatizo kama la watu hao hapo kwenye picha la kulala kweny vikao, kanisani, mikutano, msikitini na hata darasani na pia kweny bus wasiliana nami nikupatia virutubisho bomba vya afya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TIBA YA Mba kichwani, lakini nimeona ni vema nikaongelea pia na ngozi nyingine mwilini. Yeyote mwenye kusumbuliwa na mba, ukiweza kupata ALOE VERA PLANT (pichani), ondoa miba, menya ganda kisha...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hivi kwanini kunaongezeko kubwa la vituo vya tiba asili na nguvu za kiume kwa sasa tofauti na zamani? Na huduma hizi zipo sana mijini.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz
0 Reactions
6 Replies
28K Views
Ndugu wote natumaini hamjambo. Naombe tuchangie hili kuna tatizo nimeliona kwangu baada ya kutumia cell phone kwa mda, Paja lina tetemeka (vibrate) kama kwamba kuna simu mfukoni. Je, wenzangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom