Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa na wataalam kwamba kwa siku mtu anatakiwa anywe angalau lita moja na nusu ya maji,lita moja ya maziwa, pia ale vikombe vitatu vya mboga ya majani,calori kadhaa za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu katika afya! Rafiki yangu amekuwa na shida ya kutopata mtoto yapata miaka miwili tangu andoeke(afunge ndoa). Alivyoenda kwa daktari akampima na akasema hana tatizo lolote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna mwanamke amekuja na kuniambia anamimba yangu ina mienzi 4 na wakat 2meachana muda mrefu xana naitaji msaada wa kujua kama mimba alio nayo ni ya kwangu au sio nifanyaje
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari zenu, Niko hapa kuomba ushauri wa kiafya juu ya mtoto wangu mwenye miaka mitatu na nusu,Nimehangaika nae saana ila naona hamna mafanikoio,tatizo kubwa ni upumuaji kama nilivoandika yaani...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ilikuwa siku ya jnne 18/03/2014 nilienda hospital na kupimwa malaria,ila sikuambiwa kama nina malaria au sina nikaandikiwa dawa inayoitwa GINSOMIN ya Korean Panax Ginseng Extract na dawa nyingine...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Nimekua nikisumbuliwa na magoti kwa muda sasa na sifahamu tatizo wala chanzo chake,naombeni msaada wana JF.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Mitaani, kwenye mabaa dawa zinauzwa. Zinauzwa na wamasai, wachina, watu wa promosheni etc. Dawa hizo ni za mizizi, vidonge na nyingine za maji. Ni kweli zinaongeza nguvu za kiume lakini...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Habari zenu ndugu zangu naomba ushauri wenu kuhusu vidonge vya majira; Mimi natumia majira leo mwaka kwa sababu sitaki kuzaa na huyu bwana na pia mnajua yote kuhusu mimi sasa naona naharibika uso...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habar zenu, nina mwezi sasa tangu n0iache kutumia njia za uzazi wa mpango nimetumia kwa muda wa miezi 6 cha kushangaza sijaona siku zangu tangu nilipokuwa niktumia hadi leo ambapo nimemaliza mwezi...
1 Reactions
14 Replies
64K Views
Mimi nina wake watatu, nawahudumia wote na wawili wana ajira zao nzuri. Tatizo sasa mzee hajasimama na wote wanaonekana wanahitaji huduma hii nyeti ya kitandani. nashindwa kuelewa nifanyeje...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna supplement inayoitwa EDMARK MRT COMPLEX , inauzwa 150,000/=( sachets 28) unatakiwa kutumia hiyo Ina faida nyingi ( eating less and having proper nutritional diet is the fastest way to reduce...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman nahitaji msaada ujauzito wangu sasa ni week ya 39, ninapofanya zoezi la kutembea naumia sana kiuno na chini ya kitovu hadi nikikaa kusimama naumia sana chini kunakuwa kunavuta kwa maumivu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada wenu maana sielewi kama hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Nina week moja tu ujauzito wangu ufike miezi nane(8),lately nasikia mifupa yote kuanzia kiunoni hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu anatatizo,katika mbegu zake za kiume kwa upande wa kushoto kuna uvimbe wa duara na ni uvimbe mgumu,una miaka miwili sasa na mwenyewe anahistoria ya ngiri na choo hapati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wandugu, Nasumbuliwa sana na unene na nimejaribu sana kufanya mazoezi lakini huishia kupungua kilo 3 hadi 5 alafu pindi niachapo basi hurudi kuongeza hadi kilo kumi. Kilo zangu zinacheza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu!Nimetoka Kug'oa Jino,sasa Nilihitaji Kujua Hapa Kwetu Bongo Wapi Wanatoa Huduma Hii Ya Tooth Implant.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Are You Dealing With Health Problems?" Top doctors create award winning breakthrough clinically proven to boost your immune system and to help improve your health! Voted "Best Overall" liquid...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Back
Top Bottom