Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nahema kwa kuunguruma uku kifua kinauma anae jua dawa jamani.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba kujua jamani, kipi kinaanza mwanamke akitaka kujifungua kati ya uchungu au maji yanayotoka au damu? Au vyote huanza kwa pamoja?
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Kama una matatzo ya uvimbe tumboni,Ninadawa ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa miezi miwili,ni dawa nzurisana.hata kama umeenda hospital ukachukua vipimo ukienda kupima baada ya miezi miwili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habali wan Jf , mimi na mwenzangu , tumekuwa tukitumia uzazi wa mpango kwa njia ya kalendar njia hii tuliianza tangu mwaka jana desemba sasa basi katika maelekezo tuliyopata , njia hii inafaa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania na nina watoto watatu sitaki kuzaa tena na nimechoka kutumia lotion za bei ghali nimeamua kununua glutathione ivory cost ya 1500 mg nimesoma net vinasifika na zimewafaa watu...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Wakuu salam zenu. Kwa muda sasa nmekuwa na tatizo la kuwashwa/kuumwa kwa miguu sehemu ya joint magotini na joints za chini karibia na unyayo pia juu ya mguu (foot) (sehemu ya mguu inayotumika...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Pata Malimao 2 weka ndani ya glasi ya maji baada ya kuyakata, Tango nusu kata weka ndani ya glasi ya maji, na majani ya Nanaa 10 au 10 weka katika glasi maji acha usiku kucha asaubuhi kabla ya...
3 Reactions
44 Replies
17K Views
jamani hili tatitozo langu linanisumbua huu mwaka wa nne sasa ninapatwa na usingizi ovyo ovyo hata nikiwa na zungumza na watu na nilivyo kua sec ndo muda wote ninalala darasani
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiukweli baada ya kufanya research kadhaa inaonyesha kuwa methadone ina madhara makubwa sanaa kwa hawa wenzetu watumiaji wa madawa ya kulevya. Ukiangalia uingizwaji na uundwaji wa haya madawa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba ushauri juu ya afya ya mzee mwenye tatizo la sudden heart attack ambayo hutokea mara nyingi saa kumi jion na saa kumi alfajiri na kumpelekea kushindwa kupumua na kuhangaika sana hospitali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Ukiwa na kinga imara ya mwili, huwezi...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Kuna ugonjwa wa ngozi kwenye mgongo juu...unatoka kama magamba, nahitaji ufahamu wake na dawa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unamatatzo ya nguvu za kiume NGAGATE ndo jibu lako,Ni dawa nzuri sana ya mitishamba ni dawa inayo ongeza na kutibu tatzo la nguvu za kiume,dozi yake ni kwa mda wa wikinne (4),inaleta msisimko...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
ni nn haswa chanzo cha ukimwi kwa nn africa ni wahanga wakubwa na nini hatma ya tiba yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TUEPUKE NA MAGONJWA, TUSAFISHA VIUNGO VYA NDANI VYA MWILI Tunaweza kuishi mbali na magonjwa endapo tutajenga mazoea ya kula vyakula ambavyo vinafanya kazi ya kusafisha miili yetu. Tunavuta hewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajukwaa. Nina tatizo ambalo nimekaa nalo kwa kipindi kirefu nikidhani kuwa ni jambo la kawaida. Tatizo langu ni ulimi kuungua kila ninapokula/kunywa kitu chochote cha moto. Ni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama unamatatzo ya figo ktk mwili wako,au umenda kuchukua vipimo hasipital ikaonekana kuwa figo yako/zako ni mbovu unaitajika kufanyiwa upasuaji!usifanyiwe nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Figo ni kiungo mhimusana ktk mwili wa binadamu,miongoni mwa kazi ngumu za figo ni pamoja na kuchuja taka mwili zinazoingia ndani ya mwili kwa njia mbalimbali kama kwa kunywa maji n.k.Licha ya...
0 Reactions
0 Replies
20K Views
Kwa kweli namshukuru Mungu sana Baba wa majeshi... Nasema hivi kwa sababu ni yeye aliyenipa hii afya niliyonayo sasa. Wakati bara la Africa likipambana vikali na ugonjwa wa malaria, mimi kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Protein ni muhimu mno kwa ujengaji wa mwili wa mama na wa mtoto. Katika trimester ya pili na tatu(miezi ya tatu ya pili na ya mwisho) mtoto anakuwa kwa kiasi kikubwa sana na ni katika kipindi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom