Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

CLEAN YOUR KIDNEYS Years pass by and our kidneys are filtering the blood by removing salt, poison and any unwanted entering our body. With time, the salt accumulates and this needs to undergo...
5 Reactions
8 Replies
15K Views
Habari za leo wana jukwaa, mtoto wangu ana umri wa miaka mitatu ana tatizo la choo kugoma, inaweza kumchukua siku tano mpaka saba anakosa kabisa choo na pindi anapopata kinakua kugumu sana mpka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Huyu Mdada an serious problem.....mnaweza kumsaidiaje? Habari zenu Mimi nina miaka 31, na mwaka 2000 baada ya kutoka tanzania na ngozi...
1 Reactions
40 Replies
20K Views
Habari wana JF , naomba mnijuze Chakula gani kina kiwango KIKUBWA cha VITAMIN B3
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jf naomba msaada wenu meno yakiwa naunjano mtu atumie nini ili kuyafanya yawe meupe? Msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mtu mwenye hasira nyingi tofauti na zamani. Mtu anaweza kunikorofisha kwa jambo dogo ila mimi nikalichukulia kwa mapana sana. Sijajua tatizo ni nini ila hiki...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
tiba yake ipi kwani kadri siku zinavyozidi kwenda napoteza uwezo wakusikia msaada wanajf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa aliye na matatzo ya kizazi kwa wanawake,Nina dawa nzurisana inayotibu matatzo ya kizazi na kusogeza kizazi(mayai),matumizi yake ni kwa mda wa wikinne(4),ni dawa nzurisana kizazi,jamani kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jaman ndugu zangu,napenda kukiri kwamba upungufu wa nguvu za kiume nitatizo kwa wanaume wengi,kiasi kwamba mtu yupo tayari kubugia hata haja yake,ili mradi tu ameambiwa ni dawa ya nguvu za...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Dawa ambayo kwa kawaida hutumika kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI imegunduliwa kuwa ina uwezo wa kutibu Saratani ya kizazi vikamilifu baada ya kipindi cha miezi mitatu katika utafiti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu.? Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist) Mimi nipo Arusha. Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naombeni msaada je hili ni tatizo au mimi nina umri wa 26yrs ninapokaa bila kufanya mapenz kwa muda wa mwz cku nikikutana nina piz ndani ya sekunde na hata hushin
0 Reactions
15 Replies
2K Views
So how far would you go to get that perfect look? Temptation to go under the knife is immense, especially if the surgeon is easily available at an unrealistically low rate. Oneal Ron Morris, 30...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu.? Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist) Mimi nipo Arusha. Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Twelve Surprising Uses for Vicks VapoRub 1. Decongest Your Chest The most common use of Vicks is to decongest your chest and throat area. When applied to the upper chest, it provides excellent...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Limekuwa tatizo kubwa kwangu imefika wakati najikuna hadharani pasipo kujijua MziziMkavu funguka tafadhali!
1 Reactions
8 Replies
21K Views
Magonjwa yanayoambukizwa kupitia ngono ni baadhi ya maambukizi yanayotokea mara kwa mara kote ulimwenguni, na huwaathiri watu wa kila rika na asili, wanawake kwa wanaume. Bora tu wewe hufanya...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba mchango wa mawazo kutoka kwenu wadau,tofauti na hizi deodorant,dawa gani ambayo inaweza tibu kabisa tatito hili, Nawasilisha...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
SHAMBULIZI LA MOYO (HEART ATTACK) Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa...
2 Reactions
8 Replies
13K Views
Back
Top Bottom