Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salam wakuu Nini maana ya allergy ndani ya mwili? Nini kinasababisha allergy? Kuna kipimo kinaweza kuonyesha ni kitu/chakula gani mtu hatakiwi kula? Na jee inapona? Mdogo wangu anatatizo kaenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni msaada juu ya maumivu wakati wa haja kubwa hata baada ya kumaliza huwa napata maumivu yanayopelekea hata kushindwa kukaa,Na pia kuna kama nyama imechomoza kwa nje kwenye tundu...
0 Reactions
16 Replies
19K Views
VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo. Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Iron inatumika kutengeneza hemoglobin, protein inaytomika katikca red blood cells kubeba oxygen kwenda kwenye viungo mbali mbali vya mwili. Kama mama mjamzito unahitaji damu ya kutosha kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umuhimu wa Omega 3 Kwa mama Mjamzito Omega 3 humsaidia mtoto kukuza ubongo, kutengeneza retina kwenye mboni ya macho, na kutengeneza nervous system. Omega 3 humsaidia mama kuzuia preeclampsia na...
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Habari za jioni waungwana.B Shemeji yenu ni mjamzito wiki 39 sasa na vimefanyika vipimo vya ultrasound vimeonyesha mtoto ana uzito upatao 3.9 Kg na kwa sababu hiyo DR kashauri afanyiwe labour...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? ninaomba kujuzwa juu ya matumizi ya hii dawa ya kuongeza damu mwilini aina ya hemovit kwa mwanamke mwenye ujauzito wa miezi nane yaani week 32, Je akiitumia haitamletea...
0 Reactions
7 Replies
23K Views
Someone told me something this morning and she was very serious. She told me that ladies who are short get pregnant much faster than ladies who are tall. Could this be true?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam JF, mimi nikijana nimeoa na sijafanikiwa kupata mtoto kwa sasa ila nime mbebesha mke wangu mimba na ikafikisha muda wa mwezi mmoja na nusu na kwa kipindi chote hicho sija kutana nae...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Habari wakuu, Niko hapa rasmi kuitangaza hii system kwa ajili ya kuweka 'Appointment' na daktari ambayo inauzwa. Ni system yenye uwezo wa hali ya juu na ya kisasa ambayo ina fanya mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Kwa mfano, tendo la ndoa linaondoa msongo wa mawazo iwapo unayetenda naye unampenda na amekupa maandalizi mazuri. Sidhani kama alimradi utende hilo tendo na yeyote litakusaidia," anasema...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari, Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Poleni na shughuli za kutwa wana jamii bila shaka mu wazima wa afya, kwa upande wangu ni mzima kiafya ila kimawazo ni tatizo. Naombeni nianze hivi, nina mchumba wangu alie mjamzto sasa kila...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana Jf. Kuna mtu ameniuliza swali limenishinda naombeni msaada wenu, alipata period yake tarehe 16 akasex na boyfriend wake tarehe 30 na 31 mchana, then usiku wa tarehe 31 akakutana na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Our kidneys are designed such that their filtration capacity naturally declines after the age of 30-40 years. With every decade after your 30s, your kidney function is going to reduce by 10%...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchuzi wa pweza ni kiamsha nguvu (energizer )kinachopendwa sana na wanajamii, Mchuzi wa pweza waweza kukusababishia magonjwa yatakayopelekea kusababishia kifo kama vile kandida fangus na kifua...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau nimepatwa na kaugonjwa cha kujikuna katka mapaja au mikononi. Kinaanza kama kiupele kidogo tu lakini kinawasha sana. Msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau za asubuhi, mimi kuna katatizo kadogo kwenye lips zangu kwa kweli kananikera, ni mda sasa hizi lips zangu upande wa chini ya mdomo zimekua zimeungua Yani kama nakunywa pombe kali sasa sijui...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Naomba kujua,nini chanzo cha mtoto kufia tumboni mwa mama yake pindi anajifungua/mimba kuaribika wakati mama mjazito kufika miez 9.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Hello Dk. Pole na majukumu ya kuelimisha jamii. Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 29, nilijifungua mtoto na kuweza kutumia njia ya uzazi ambayo ni njiti ya muda wa miaka mitatu, lakini nilikaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom