IKUMBUKWE kwamba, kutokwa na majimaji au ute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la
kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili kuondoa sumu.
Ute huu...
niliwahi kupost humu ndani kuhusu mwanangu mwenye matatizo ya miguu na madaktari wwalikuwa wameshauri akatwe miguu lakini tunamshukuru Mungu kwa ushauri wenu tulimpeleka CCBRT amefanyiwa operation...
Ugonjwa wa Nephrotic syndrome ni hali ya maradhi inayokumba figo na kusababisha kupoteza kiasi kingi cha protini kutoka kwenye damu kuingia kwenye mkojo. Kiasi cha protini
kinachopotea ni...
Habari.
Elimu ya Uzazi kama inavyoeleweka, Inanipa wakati mgumu kuielewa,
Majarida mengi pamoja na watunga sera za Uzazi hutoa taarifa zinazokinzana,
Taarifa nyingi zilizopo kuhusu Uzazi...
Nikiwa kwenye basi nilikaa na mgavi(distributor)kutoka kampuni ya Amezcua wenye anuani hii www.qnet.net. Amenionesha bidhaa mbalimbali za asili akisema hayina madhara. Baadhi ya bidhaa hizo ni...
Nimeenda kupima general body health na niliambiwa PH yangu inatofautiana kwa kiwango kikubwa sana yaani acid ni nyingi kuliko alkali,na pia nina urefu wa cm 164 na ni kg 66 lakini nimeambiwa moyo...
Kuna tiba nyingi za kitabibu,zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza...
Habari waungwana,
Ninatatizo nimeanza kuliona kwa mwanangu ambaye anajifunza kutembea kila anaposimama miguu yake inakaa upande na awi stable. Nilitaka kujua je ili ni tatizo au ni kawaida, na...
Kwa mujibu wa maelekezo yaliyotolewa na Chuo Kikuu Cha Marekani cha Masuala ya Uzazi na Magonjwa ya Wanawake, mama mjamzito haruhusiwi kufanya mazoezi iwapo atakuwa na matataizo yafuatayo...
Mbali na faida kemkem tunazozijua zinazopatikana kwenye kahawa, utafiti mpya umesema kwamba kunywa kikombe kimoja tu cha kahawa kwa siku kunapunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo. Utafiti...
Nimeanza kufanya mapenzi mwaka wa tano sasa lakini sijawahi kutoa shahawa (kufika kileleni) hata nifanye tendo la kujamiana muda gani.
Hili ni tatizo au ni uzembe wangu??
Habari zenu wapendwa....
Naimani humu nitapata msaada ....... mimi nilikuwa naumwa typhoid na amoeba was result from hospital nikapewa ciproflucenllen na secnidazole(siku mbili)na nyingine...
Nina mdogo wangu ana mabaka kwenye ngozi(ngozi inakuwa nyeupe kama albino) ambayo ukiyaangalia kwa haraka unaweza sema ana ukoma ila tofauti ni kwamba hapati maumimivu wala muwasho na midomo...
Habarini zenu!
Naomba kujua jinsi ya kupima kiwango cha mafuta mwilini. Kuna mtu kasema kuwa unatumia tape measure ila maelezo yake hayaingii akilini. Anasema unapima...
Kuna tiba nyingi za kitabibu,
zilizogawanyikaa katika makundi
mbalimbali. Kuna zile za hospitali
ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini
kuna tiba ambazo kwa ushauri wa
daktari hata wewe unaweza...
Wandugu habari zenu.
Mke wangu ana mabaka meusi usoni, aliyapata kipindi akiwa na ujauzito yapata miaka mitatu sasa. Amehangaika sana kuyaondoa lakini wapi. Hajawahi kutumia cream yoyote. Na...
Wana jf naomba kujuzwa ni wapi nitapata clinic ya kupima macho kwa kiwango kizuri. Mzee wangu anajitaji huduma ya kupimwa macho haoni vizuri. Natanguliza shukurani!