Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana jf!naomba kuuliza mwaka jana nilijifungua kwa operesheni nikakosa mtoto ilikuwa jan 17 sasa nimetimiza mwaka nina hamu ya mtoto sana kwani sina.lakini sitaki kuzaa kawaida nataka...
0 Reactions
19 Replies
23K Views
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
0 Reactions
24 Replies
5K Views
New study: What really happens when you die? AWARE project harnesses technology to probe "out-of-body experiences" The AWARE (Awareness During Resuscitation) study is an international...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitu usichokijua kuhusu ‘juisi ya boksi' BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice' huwa ni halisi na...
11 Reactions
45 Replies
23K Views
Kwa wale tuliozoea na kupenda sana nyama choma, iwe ni ya kuku, mbuzi, ng'ombe au nyama aina nyingine, habari mbaya zinazoenea kwa kasi katika ulimwengu wa vyakula ni kwamba wanasayansi wanasema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mm ni kijana umri ni zaidi ya miaka 30. nilipatwa na tatizo la mbegu kupungua kila baada muda fulani (meizi kazaa) na niliwahi kufanikiwa watoto uko nyuma lakini kwa sasa imekua mtihani, kwani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa sasa kuna idadi kubwa ya watu wanaofanya uzinzi/uasherati baada ya kujipima kwa kutumia hivi vipimo vya bio line ili kujua kama wameathirika na ukimwi. Naomba kufahamishwa uhakika wa hivi vipimo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimekua nikisikia kwamba eti mtoto akianza kuota meno huwa anaharisha. Mwanangu mi alipoota vijino vinne vya mbele sikuona hiyo hali ila sasa ameanza kuongeze mengine naona choo chake...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Matatizo ya kibofu cha mkojo yanasumbua wazee wengisana africa na dunia kwa ujumla.Unapozungumzia prostate anlargement-ni tatzo linalosababishwa na kukua kwa tezi ambazo zikishakutana husababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wana jf. hiki ni kitu gani; nikienda kukojoa napata mauvivu mkojo ukikaribia kuisha pamoja na damu kutoka. je hili ni tatizo gani? msaada wenu tafadhali
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Me naumwa minyoo ambayo huwa nahisi kama wadudu wanatembea ndani ya mwili nilienda kupima nikakutwa nayo bt nimetumia dawa mbalimbali huwa nahisi unafuu kisha inarudi after 2 weeks nimetumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nna rafiki yangu ana tatizo la muwasho ukeni kutoa ute mzito wenye harufu vijipu vinavozuka na kupotea vinatoa usaha ...pia huenda hedhi baada ya kukaa mda mrefu sana hata miez sita hadi nane na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu wa kimawazo na tiba mke Wangu anaujauzito Wa miezi mitatu kila ikifika joini anapatwa na kikohozi cha ajabu muda Wa dk 35-45 na baada ya hapo anapata ahueni na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kwa wanaojua, ulalaji wa style ktk mapenzi unaweza kusababisha kutoshika mimba?
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye ndoa nina mwaka sasa natafuta mtoto na mke wangu imekuwa ngumu,nimepimwa sperms zipo poa na yeye kapigwa ultrasound yupo poa, mpaka najiuliza labda tunakosea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekua ni story kwenye jamii yetu kwamba ukikwangua vocha za simu kwa kutumia kucha inaweza kukuletea madhara ya cancer je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Warts Removing Solvent Au Warts Removing Paint.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani waungwana salama,nina mpwa wangu ana umri wa miaka 3 na mpaka sasa ajaanza kutembea bali anaishia kutambaa..Je atakuwa anatatizo gani,
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nililetewa zawadi ya shower gels za Axe toka U.S na shem wenu.Nikatokea kuzipenda sana kutokana na harufu yake nzuri,si mnajua tena,pale kwenye label yake imeandikwa UNLIMITED FEMALE ATTENTION...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wadau? mimi ni mmoja kati ya members wa jf wa muda mrefu! nimeamua tu kutumia hii id just to reserve my face from stones! jamani ni hivi, hapo kabla nilikuwa na tatizo kubwa sana la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…