Pongezi ziwafikie kwa kazi nzuri, jamii inapata faida sana. Kuna rafiki yangu ana tatizo la kiafya, lakini kwa bahati mbaya hana ID humu, yanibidi nimpe kampani.
Jamaa anasema alipata tatizo...
Nina mzazi wangu mtu mzima(zaidi ya miaka 60)ambae anasumbuliwa presha kwa muda wa miezi miwili sasa,pamoja na kwenda hospitali na kufuata masharti yote ya tiba naona nafuu ni ndogo sana mwili...
jamani hii photograph inaonesha kwamba kuna condom over size na nyingine under size!
mimi toka nianz kutumia condom sijawahi fuatilia masuala ya dimensions kama inavyoelekezwa hapa!
je hii...
habar,
nimekuwa nikisumbuliwa kwa tatizo la figo kwa miezi 5 sasa kila nikipima napewa dawa lakin tatizo linaendelea dozi ikiisha, ninasumbuliwa sana na kuvimba miguu nilipima renal test mara ya...
Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa...
Sehemu kubwa ya nchi kwa sasa ni msimu wa maembe
Kuna watu husema kwamba ongezeko la ulaji kupita kiasi huchangia ongezeko la nyongo mwilini
Je kuna ukweli wowote??
Karibuni kwa michango yenu​
Time to Talk Tips
High Blood Cholesterol? 5 Things You Should Know
Approximately 13 percent of U.S. adults has high total cholesterol. Lowering cholesterol levels can slow down, reduce, or...
The #1 Vitamin Deficiency
Damaging Your Brain
Sadly, this affects 1 in 2 older adults. Are you one of them?
Dear Health Conscious Reader,
Did you know that 1 in 8 Americans over the age...
5 Things You Need to Know About Your Blood Type
Have you ever wondered why you are not losing weight after following the exact same diet as your best friend and she manages to lose those 10...
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema changamoto kubwa iliyopo kwenye sekta ya afya inatokana na ongezeko la idadi ya watu.
Kikwete aliyaema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa...
Habari wanajamii nina tatizo kwenye uume wangu kunakuwa na maumivu kwa mbali hasa karibia na tundu la kutolea mkojo je?inaweza kuwa tatizo gan kwa anayefahamu anisaidie plz tatizo limeaanza jana
Mimi ni manusra wa ajali ya noah iliyotokea tarehe 18 asubuhi maeneo ya dakawa MOROGORO na kuchukuwa maisha ya watu 10 kati ya 13.Nina maumivu kwenye paji la uso,mataya ya meno na mbavu.Watu...
Habari zenu wapendwa wangu.
Naombeni kujua ni wine gani naweza kutumia na zisilete ongezeko la uzito ktk mwil wangu?kama ambavyo bia zinasababsha?
Nawatakia usiku mwema
Jamani nina maumivu makali sana ya jino sijui hospitali nzuri ni ipi mara ya mwisho nilienda tmj ila sikuridhishwa na huduma zao ni jino la juu msaada tafadhali.
Mwaka 2003 gego langu la mwishoni juu kushoto lilianza kutoboka taratibu na kuuma. Mpaka 2008 likawa limetoboka kabisa na kuanza maumivu makali.Watu kadhaa wamenishauri nisiling'oe eti laweza...
Kwenu wanajamvi;
Nimekuwa nasumbuliwa na PERIPHERAL NEUROPATHY na huu ni mwaka sasa toka nianze kutumia dawa aina ya NEUROTON pamoja na PHYSIOTHERAPY(mazoezi) pale BUGANDO M.C
Nashukuru...
Namshukuru Mungu amenijalia watoto na nikaona kuwa inatosha na kuamua kufunga kizazi. Tatizo kadri siku zinavyoenda napoteza nami ya tendo la ndoa pia nakuwa na stress bila sababu. Je yaweza kuwa...
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake hauko sawa,kuna wakati anawahi kuona siku zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.