Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi...
-Anadawa hasili za kutibu na kuondoa kabisa tatizo la NGUVU ZA KIUME na kukupa uwezo wakurudia tendo zaidi ya mara 4 na kuchelewa kufika kileleni kwa muda wa ( dakika 30- 35 ) pia na kurefusha na...
Nilikuwa nikipitia jarida moja linalo zungumzia "Health Effects of Uranium" nikakutana na kipengele kinachogusia madhara ya Uranium kwa binadamu na vyakula tunavyokula. Viazi vikaonekana ni moja...
Wanaume hutoa mamilioni ya manii katika kujamiiana wakati ni mbegu moja tu inayohitajika?
IMEELEZEWA na wachunguzi kwamba sababu ambayo humfanya mwanamme mwenye afya kutoa mbegu zaidi ya...
How to Get Pregnant Naturally
Infertility is a rising problem in todays society. I tried to find accurate info on how much is spent annually on infertility treatments, and I kept getting...
Moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla{/0} (ADHF) ni sababu ya kawaida na kubwa ya
kusababisha kushindwa kupumua kwa ghafla.
A man with congestive heart failure and marked jugular venous...
Wakuu nilikuwa naombeni kujuzwa mtu alieambukizwa tb anaanza kuumwa baada ya muda gani.kwani mwaka wa 2011 nilimuuguuza mwanamke niekuwa nae lakin alipona kuna dalili naziona sasa sijui...
kuna sehemu nimesoma ushuhuda wa jamaa mmoja aliyefanya mapenzi na wathirika kwa miaka 2 bila yeye kutambua alipogundua na kwenda kucheki lakini jamaa hakuwa hata na chembe moja ya HIV NI KWELI?
habari zenu,
baada ya kumaliza chuo nimepata mpenzi ambaye nategemea hivi karibuni tutafunga pingu za maisha.
Tatizo analolalamikia ni kuwa huwa hasikii hamu ya mapenzi,baada ya kushauriana...
Serikali imeendelea kusisitiza kwamba hadi sasa hakuna kinga wala tiba ya ugonjwa wa Ukimwi.
Katika kusisitiza msimamo huo, imewaonya waganga wa kienyeji waliobandika mabango sehemu mbalimbali...
Wadau mwenzenu nimeolewa mwaka 2009 Mwaka 2010 nilijaaliwa kupata mtoto wa kike kwa Operation, Nilishauriwa na Daktari nisizae tena mpaka mtoto atimize miaka walau mitatu ili mshono upone kabisa...
Habarini za usiku huu wana jamvi, mimi ni mwanaume nliyetimia kimaumbile ila kuna jambo moja huwa linaninyima raha kidogo. Kwa muda sasa nmekua nikiona ongezeko la kende zangu kitu ambacho...
wana jf
nimefanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua mtu akipungua uzito miguu inapasuka
hiyo imenitokea mimi mwenyewe baada kupingia uzito kwa haraka na nyayo zikaanza kupasuka
nilishangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.