Mimi ni kijana nilie ndani ya ndoa takriban mwaka mmoja sasa. Mungu amejaalia Mkewangu ana Ujauzito (mimba) wa miezi miwili, lakini mwenyewe nimeshindwa kuushinda moyo wangu hivyo kila mara...
Jaman wazima nyote me mgeni kbs humu ila naamini ntapata msaada.
mama yangu mdogo anasumbuliwa na uvimbe jwa mda sasa ameshauriwa na hospital ya rufaa aende akapime kansa
sasa kuna mtu ambaye ni...
Wana jamvi habari za mchana. Wandugu uwanawaheshmu sana kwa ushauri mnaotoa. Kwani nimekwisha nufaika na ushauri wenu.
Leo ninajambo ambalo naliona kama si lakawaida kwa mke wangu. Jambo lenyewe...
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni...
shalom!!
Assalam aleikum!
binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.
mwezi wa nane niliona cku zangu tar...
Habari zenu wana jf,
mimi nina tatizo moja ambalo naona linataka kuwa addictive kwangu..
mimi kila inapofika mida fulani ya mchana hasa kuanzia saa 8 ama 10, lazima nishikwe na usingizi na macho...
Habari zenu wana JF
Nomba msaada rafiki yangu anatatizo la kubadilika mpangilio wa hedhi,mwezi wa nane alikuwa na mzunguko wa siku 27, mwezi wa tisa siku 26, mwezi wa kumi siku24 na period...
Nipo natizama star tv, mtu ananadi dawa inaitwa LIFE, intaibu magonjwa lukuki... wakiwemo watu wa "mwezi mchanga"!
Hii dawa hainatofauti na kina NGETWA, NGOKA, KIKOMBE CHA BABU nk
Watanzania...
Wakuu salama ? nimekuwa nikitumia red bull taratibu hasa asubuhi ninapo amka tu kwa kuchanganya na maji baridi kiasi cha lita moja na nusu(jagi moja la mezani) + red bull 1, pol pole hatimaye...
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa...
Habar JF-Doctors.
Mimi nnasumbuliwa na tatizo la Bega langu la Kushoto kuchomoka kwenye Maungio yake Mara kwa mara, na hupelekea Maumivu Makali sana yasiyo elezeka.
Historia yangu kwa Ufupi...
Natural Remedies for Acidity
1. Gently sucking a piece of jaggery (unrefined brown sugar made from palm sap) until acidity subsides is a perfect home remedy for acidity.
2. A glass of cold milk...
wanajamvi nilipata ajali ya jicho utotoni nilichomwa na katani jichoni,nilikimbizwa hospitali ya Nkinga nikapata operation pale lakin baada ya hapo jicho langu lilikaa upande na hivi sasa...
NJOO UKUTANE NA MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA HATARISHI
MFANO hYPERTENSION, DIABETES, UVIMBE TUMBONI (FIBROIDS), KUPOTEZA ULIJALI (IMPORTENCE)
UELEWE NAMNA YA KUJIKINGA NA NAMNA YA KUONDOA KAMA...
Habari,mwenzenu mimi hutumia mpira mara kwa mara kwasababu situmii njia zingine za uzazi wa mpango.sasa kama wiki mbili zilizopita nilipata uti,wakati nimeitibu,tulikutana na mume wangu kimwili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.