Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za saizi wana JF. Natumai mko poa. Samahani naomba kuuliza; Eti hiki kipimo cha Urine Pregnant Test (U.P.T) kinachouzwa duka la dawa huwa kinatoa majibu sahihi 100%???? Naombeni mnisaidie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Tatizo ni kwamba, mwanamke ana mimba ya miezi 4 ila ameanza kujisikia kukandamizwa kibofu cha mkojo, na anaweza kujisikia kama amebanwa na mkojo lakini akienda...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
jamani salama wapendwa,tatizo langu ni kuwa kuna mtoto wa kiume wa dada yangu kwasasa ana umri wa mwaka 1 na miezi kumi na mpaka sasa hajaweza kutembea....je tatizo litakuwa nini hapo wadau
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu. Mi nikijana wa miaka 25, kwa kawaid kila niamkapo asubuhi penis yangu huwa inasimama, lakini pia pale ninapopata hisia either nikiwa njiani ama sehemu yeyote.Kiukweli...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
17 Reasons Why You Need a Mango Every Day 1. Fights cancer 2. Keeps cholesterol in check 3. Skin cleanser 4. Alkalizes the body 5. Weight loss 6. Regulates diabetes 7. Aphrodisiac 8. Eye care 9...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zanguni je niukweli vidonge vya majira vinaharibu mimba changa naomba ufafanuzi mwenye uwelewa na hili
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Je hii ni kweli kua vidonge hivi vinaharibu mimba changa? Mwenye uwelewa nahili anifahamishe
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wadau.! Mimi ni mnywaji wa pombe aina zote kuanzia laini sana kama castle lite,redds mpaka zile kali sana kama grants,konyagi yaani sprits,vodka,whisky lakini nakunywa sana chai, Siku...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Apcs kwa kushirikiana na amref kwa ufadhili wa sida kwa kupitia mradi wa tuitee tunatoa huduma za counselling kwa watu wote hasa vijana miaka 10 mpaka 24 1.tunafanya counselling kwa mtu mmoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna emergency hapa mdada mjamzito kapata presha ya kushuka hapa hana nguvu ndo tunamwahisha hospitali. Huduma ya kwanza tumfanyeje meanwhile?
1 Reactions
11 Replies
29K Views
hivi kuna madhara yoyote ya punyeto kwa mwanamke msaada plz.
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Ngozi ya makende hutanuka sana wakati wa joto na kufanya yashuke sana chini. Wakati wa baridi hujirudi na kuwa kudogo km kawaida. Je kuna tatizo gani?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar ndugu wanabodi. Tatizo hili sijui ni mimi tu au na wengine ni kwamba mtu yoyote akifanya kosa au kitu cha aibu ninakua ninaona aibu mimi badala ya yule aliyefanya aone mwenyewe"" Sijui ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
COCOLLAGEN --For a Beautiful Skin-A CHOCOLATE FLAVORED BEVERAGE ENRICHED WITH HIGH GRADE QUALITY MARINE COLLAGEN It provides elasticity and shape, giving skin its firmness as well as the ability...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
nilikuwa nauliza mwanamke hufika kikomo kuingia mwezini akiwa na umri gani? au kushindwa kuzaa
0 Reactions
17 Replies
24K Views
wanaJF naombeni msaada wenu. Mimi nasumbuliwa na kucha ya kidole gumba cha mguu,hyo kucha inaotea kuelekea pembezoni mwa nyama ya kidole na inaleta maumivu makali sana tafadhali nisaidieni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu jaman jana nliweka thread inayohusu maumivu ya titi la kulia so wadau wamenishauri niende nkachek ocean road km itakua cancer au la. me niko mkoani kwa yeyote anayejua gharama za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…