Nimeona kuna App inaitwa "iTriage"..aisee ni nzuri sana kwa madaktari na hata kwa mtu yeyote mwenye kupenda afya yake na kutaka kujua medications na maswala ya magonjwa. .dalili na tiba zake. Iko...
A healthy lifestyle before and during pregnancy can lead to having a healthier baby.
Babies born to healthy women are more likely to be born healthy. Are you considering having a baby? Now is...
Rafiki yangu ana tatizo la kuumwa tumbo muda mrefu na anasema akienda haja kubwa choo chake kinafanana na cha mbuzi...je tatizo ni nini? Na atumie dawa gani...?
Mimi ni mpenzi wa mambo yetu yalee,pombe.Zamani nilikuwa nakunywa bia mpaka chupa 6 bila kilewa,lakini siku hizi glasi moja tu ya bia nalewa,je kuna tatizo lolote la kiafya wataalamu???
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
Uvimbe kwenye Cervix unasababishwa na nini? Na nini matibabu yake? Madhara yake ni nini? Nini kifanyike ili uvimbe utoke? Kwa aliyewahi kukutwa na ugonjwa huu au kusikia unasababishwa na nini na...
Habari wanajf naomba mnisaidie Nina mtoto wa miezi 7 hataki kula kabisa na akila huwa anatapika nimempima hospital Hana tatizo lolote,sijui nifanyeje,namnyonyesha mpaka sasa ila hataki kitu...
Tumekuwa tukipokea maoni toka kwa watu wengi juu ya matatizo ya kukosa usingizi, ingawa kuna
sababu nyingi zinazoweza kukufanya ukose usingizi kama magonjwa nk, ila mlo nao ni moja ya
sababu...
It looks like a watch, but it's a sophisticated blood-oxygen heart-rate monitor
About half of all people at risk of death from heart attacks could gain the chance to live, once Israeli...
Salam,
kwa muda mrefu nimekuwa nasumbuliwa na matatizo ya binafsi,na nimekuwa nahitaji ushauri wa kitaalam,pia kuwe na confidentaiality katika huduma hiyo,hivyo siwezi kuwaomba ushauri watu...
habari wapendwa leo katika pilika pilika zangu za kutafuta dawa za kupunguza unene na uzito nimegundua mafuta ya kiunguu swaumu nayo yana saidia una weka kijiko kimoja cha chai katika maji ya moto...
Habari zenu ndugu zangu mlio jukwaani
Naomba msaada mwenye ujuzi na hili:
Nilivamiwa na Vibaka siku ya J/tatu mida ya saa 2(mbili) usiku maeneo ya Sinza Makaburini wakitaka kunipora simu...
Obesity leading to deaths worldwide
Obesity has reached epidemic proportions worldwide, with around 2.8 million people dying each year as a result of being overweight or obese, according to...
anatarajia kujifungua muda wowote kuanzia hivi sasa.............
kinachohitajika kwa sasa ni elimu ya kutosha jinsi ya kumnyonyesha mtoto huyo kwa maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi...
Wanawake wengi hupata tatizo la kuumwa kwa kichwa wakati wa ujauzito. Hili tatizo huweza kutokea wakati wowote wa ujauzito lakini mara nyingi hutokea wakati wa trimester ya kwanza (miezi mitatu ya...