Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Binti yangu ananiambia hua anakua na hamu sana na blid na inapokua inachelewa anakosa hadi raha, akianza tu analazimika kunusa pedi alotumia hadi nusu saa muda mwingine. Jaman ndugu zangu, huu ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hiv
waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana ukiachilia mbali nambo yote, ni utundu upi unaweza saidia mimba ikamate??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, mimi ni kijana umri kati ya 22-28, sijaoa ila nina mchumba, nina kazi ambayo inanifanya nakua busy kila siku. kuna hili tatizo sijui nini kimenitokea ila najiona nina-stress sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nauliza kama vipo vidonge vya kuzuia mimba kwa male
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mpenzi wangu kwa sasa amekuwa mvivu sana katika suala la ndoa pia huchoka mapema sana na kuwa hoi baada ya tendo. nmejaribu kuomba ushauri kutoka kwa wataalamu mbalimbali baadhi wakasema kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari jion jaman? Matumaini yangu ni wazima! Naomba mnisaidie Kujua ile siku/tar ya kushika mimba kwa mke wangu! kwa kabisa ana mzunguko wa siku 28 bleed inaanza tar 14-tar 18 humalizia...
0 Reactions
53 Replies
32K Views
Siku hizi watu wengi wanapenda kuonekana vijana, kuanzia kwa watu mashuhuri hadi kwa watu wasio mashuhuri, hakuna mtu anayetaka kuzeeka. Tafiti zinaonesha kuwa kuna baadhi ya matendo ambayo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni, jana usiku nilienda haja kubwa cha kushangaza haja ilikua ngumu kutoka nilipojitahidi kuikamua nilihisi maumivu makali then nikaona vidamu vinadondoka nikashindwa kuendelea na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf naomba kuuliza kama kuna ukweli katika hili ama ni myth tu za watu. niliwahi kusikia kwa watu mtaani kuwa watoto wa kiume tu, wanaolishwa uji uliochanganywa na viinilishe vingine kama...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Napendelea kufanya mazoezi ya kukimbia kila jion..lakin nimekaa kwa mda wa miezi 2 bila kukimbia nilipo anza tena nilikimbia mita chache2..nikasikia maumivu makal sana kwenye vifundo vya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa ushauri wenu ambao unasaidia wengi humu! Nina mwanangu wa kiume ambaye ana miezi 9 sasa ameanza kutembea, tatizo la huyu mtoto ni kuwa hataki chakula cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wazee wangu naombeni msaada, leo kidushelele changu kilikuwa kinawasha sana na baada ya kukojoa ikatoka damu kidogo sana, je hili ni tatizo gani,nifanyeje naomba msaada. Je hii inaweza kuwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sina mawazo na ningependa kuongezeka mwili kidogo, je? nitumie vyakula gani au nifanye kitu gani?..Help pliz, money isn't a problem.
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Jamani mimi nimeoa miezi minne iliyopita, nimejitahidi kumpa mke wangu mimba ila bado haijakubali. Najihisi ninatatizo moja ambalo ni mbegu za kiume kutotoka kwa speed na kuruka kama nilivyokua...
1 Reactions
20 Replies
25K Views
help needed,a friend suffering
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Hv Punyeto ina madhara yeyote kiafya...kufuata wadada naona kama napotez mda hv...na kuweka maisha yangu reyani..
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari! nimekuwa mpigaji wa muda mrefu wa hii kitu na nimejitahidi kuacha na kufanikiwa kwa muda kisha Narudia tena Ninasumbuliwa sasa na magoti, japo nimesoma post nyingi humu Ndani na sehemu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mama yangu ana anasumbuliwa sana na sukari, msaada tafadhali wa hospitali gani nzuri au daktari gari kwa hapa Tanzania aende ili aweze pata matibabu mazuri. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
2 Replies
995 Views
Back
Top Bottom