Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Eating raw garlic can reduce risk of lung cancer by nearly half, says study. Habari njema Kwa Wale Wanaovuta Sigara Kwa wale wavutani wa sigara ili kuepushwa na ugonjwa Saratani ya Mapafu...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Sasa takribani mwezi mmja nawashwa mwili mzima sasa, na nilianza tu baada ya kumgegeda dem mmoja siku ya 3 ndo ikawa hivi ,nilifanya kavu sasa nawasiwasi kaniachia ngoma au ugonjwa gani huu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wanaJF, Nahitaji dawa ya kutibia ugonjwa wa pua kuziba ila nikipenga kamasi hazitoki. Mara nyingine pia husababisha maumivu ya kichwa hasa katika paji la uso. Wenzetu wa Tanga ugonjwa...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa. Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam zenu wanaJF ,namshukuru mungu kwa kupata mtoto wa kiume last month ila tatizo ni kwamba hajapata choo tangu jumapili ,tukashauriwa tumpe mafuta ya samaki ,tumempa lakini wapi amekuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Najisaidia haja kubwa yenye damu, nawashwa ------ sana ila naona haya kujikuna.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VERVE ni kinywaji bora kutoka kampuni ya kimataifa iitwayo VEMMA NUTRITION COMPANY ambacho kinasaidia sana kukupa nguvu mwilini, kukupatia vitamini, madini pamoja na kusaidia kuondoa maradhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Nina tatizo la matiti {yote mawili} kuhisi yamekuwa mazito na yanauma kwa kuvuta na kuacha..nikivua braa nahisi yanadondoka kwa maumivu ninayopata. Nilidhani ni kawaida ila mbona...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini. Yeye haoni raha hata siku moja.
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Eti jamani ulemavu wa viungo hua unarithi au kuambukiza? Yaani kama mama alikua mlemavu kunauwezekano na mtoto nae akazaliwa akiwa mlemavu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Swali langu ni kwamba baada ya mama kujifungua hutokwa na damu ya uzazi kwa muda wa siku ngapi? Na je anapomaliza damu ya uzazi anaanza mzunguko wake wa hedhi ama hukaa muda gan kabla mzunguko...
0 Reactions
12 Replies
22K Views
Southern Africa: SADC Considers Universal HIV Testing Agência de Informaçao de Moçambique 19/08/2013 Lilongwe — Several leaders of the Southern African Development Community (SADC), speaking at...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
habarini wana jukwaa, kidole changu kimekufa ganzi afu kimejaa kinanipa maumivu kiasi, je litakuwa ni tatizo gani wapi naweza pata tiba? Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Magonjwa yatokanayo na STDs sio mapya na yameendelea kuwepo. Kwa elimu nahitaji kufahamu dalili za haya magonjwa na effective medicine ya kutibu. Hii itakuwa faida kwa wengi..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kipindi cha takribani miaka mitano au zaidi sasa,kumekuwa na uhamasishaji wa Voluntary male medical circumcision katika bara la Africa huku katika inchi yetu ya Tanzania kampeni ya Dondosha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuumwa tumbo chini ya kitovu, kiuno na nyonga kwa mjamzito wa miezi 5 na nusu tatizo nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.........
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Nina kijana wangu sasa ana miaka 15, akiwa naumri wa miaka 9 akapatwa na tatizo ambalo hapo mwanzo hakuwa nalo juu ya kuoga.akioga anawashwa mwili mzima anajikuna sana. Tena anajikuna sana akioga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanaJF! Kuna tatizo hili inawezekana linakutokea au limemtokea mtu wa karibu yako. Unakuta mtu akila tu nyama au baadhi ya samaki basi anatokwa na damu puani,je tatizo hili linasababishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chemotherapy can damage healthy cells? Say it isn't so? You don't need a degree to figure this one out. Poison kills indiscriminately– always has and always will. While damaging healthy...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom