Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Muhimbili, Profesa Karim Manji (wa pili kushoto) akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kwa operesheni ya kuwatenganisha watoto walioungana, kazi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa wanavamvi. Naombwa kujuzwa sababu za mwili kuwa wabaridi kiasi tofauti na miaka 5 na 4 ilopita nilikuwa na joto sana kiasi hata nikimsalimia mtu anauliza km naumwa au lah. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Na Dk Isaack Maro ; isaac.i.maro@gmail.com KWA UFUPI Hata hivyo, inapotokea uwiano huu wa kinga ya mwili na bakteria kushindwa kuzuia ongezeko la fangasi, basi fangasi hao huongezeka na kuwa...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana maumivu. Huwa nachukua muda mrefu wa kumuandaa lakn huwa haisaidii. Naomba msaada juu ya kilainishi gani kinachoweza kuongeza utelezi na...
0 Reactions
72 Replies
18K Views
Wengi tunafuga nyuki, tunakula asali lakini hatujui kama nyuki wana faida zaidi ya hizi hapa. Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha tiba Washington, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa sumu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina tatizo la kulegea meno kibaya zaidi ni haya ya reception yaani nahisi yatadondoka yote. Tatizo hili linasababishwa na kulika kwa fizi zangu zinazo yafanya meno yaning'inie kwa sababu fizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanini sipati usingizi hata kidogo for two days now? Ni ugonjwa au ni nini? Naombeni msaada na tiba kwa anaefahamu hii hali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kurudi nyumbani likizo wazee wangu wamenisihi niwasaidie kazi ya kuwasaidia wenye matatizo ya uzazi kwa njia za sili. Nimetafakari sana sasa nimeamua nikubaliane nao hivyo natoa ofa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sikuwa najua kuwa bado kuna watu wana mafunza miguuni. Jana nimekutana na m2 ana mafunza miguuni mpaka kwenye mikono. Nilipo ongea nae akaniambia eti familia yake wote wapo kama yeye, wote wana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu..nina ndugu yangu ana tatzo la mkono wake kutetemeka kwa mda kama wa dakika nane hvi, kila siku hali ile ina mtokea tuenda hospitali kapewa dawa zilimsaidia kidogo lakini...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Wakuu, Kuna hii dawa ya maumivu inaitwa HEDEX, imeadimika sana madukani. Wauzaji wanadai imepigwa marufuku na TFDA, lakini sijaona tangazo lolote wala kusikia kwenye vyombo vya habari? Kuna mtu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini wakuu,kuna binti ana mimba ya miezi saba,na yupo chini ya kumi na nane je kuna uwezekano wa kuweza kufanya mimba iharibike?N.b sio kutoa mimba njia nyingine lengo n mwakani aende...
0 Reactions
13 Replies
23K Views
Porn Causes Brain Damage In today's culture, porn is not going away. You can avoid the damage this sin causes. by Howard Davis Let's face it. After 20 years of exposure to thousands of hours...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Details: Daktari wa Kenya autibu Ukimwi kwa dawa za Kansa - Bongo5
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nipo likizo so mda mwingi napitia you tube sasa nimekutana na video moja inaonyesha kuwa UKIMWI ulitengenezwa kupunguza wingi wa watu ktk nchi za ulimwengu wa tatu kwan wanaona tunazaliana sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada wakuu. Mdogo wangu ameanza kupata mvi (zimechachamaa zaidi kidevuni) wakati hata miaka 30 hajafikisha. Mimi ninamzidi umri ila sina hata punje ya mvi. Inawezekana hii ni upungufu/ukosefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Back
Top Bottom