Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Vifo vinavyotokana na Malaria huripotiwa zaidi Barani Afrika Mbu wanaoambukiza Malaria huvutiwa zaidi na harufu ya mwili wa binadamu kuliko wadudu wengine, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watafiti wanaonya kuwa bado kuna changamoto nyingi za utafiti huu Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu Matokeo haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi Jamii ninahitaji food suppliments kwa maana ya vidonge ambavyo vitanipa nguvu kidogo........si kwmba sina nguvu..it happened cd4 zinashuka kwa kasi japo siumwi...nahitaji kuzipandisha.nakula...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kutanguliza heshima mbele yenu, nina mdogo wangu ambaye huwa anasumbuliwa sana na kifua tangu akiwa na 2age mpaka sasa ana 12 age na bado tatizo linaonekana bado kuwa sugu kwani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu huwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi.Naomba anayejua suluhisho la kudumu anijuze.Natumia Net ya mbu vizuri,dawa napiga kila siku ndani lakini bado malaria inanishambulia kila mwezi.
0 Reactions
1 Replies
964 Views
INAUMA SANA: KANSA YA NGOZI YAMHARIBU MTOTO WA MIAKA 7....BABA AMWAGA MACHOZI AKIOMBA MSAADA MTOTO Ashura Mustapha (7) mkazi wa Mwandege, wilayani Mkuranga, Pwani anasumbuliwa na ugonjwa wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mbu ni Aduwı mkubwa wa bınadamu. KWA UFUPI Wasema nchini kwao, ugonjwa huo sasa umekuwa historia. Dar es Salaam. Serikali ya China imetoa msaada wa dawa za malaria zenye thamani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naombeni msaada wadau wa dawa ya chunusi kwani zilimtokea baada ya kula samaki hapo awali hazikuwepo nashukuru kama nitapata msaada
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Mansome 233: THE MANSOME GUIDE TO JUICING | Watch the video - Yahoo! Screen
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU JAMVINI WATU KUTAKA DAWA ZA KUONGEZA UUME INGAWA MIMI NAHISI KINACHO WATOA KUJIAMINI...
4 Reactions
34 Replies
136K Views
Habari, Natumai wazima uku. nina tatizo sasa sijui ni ugonjwa au vipi na kama si ugonjwa ningependa ushauri kutoka kwenu. Nahitaji msaada wenu kwani nimekua mtu wa hasira/ short tempered na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimeachana na binti mmoja hivi wa kiarabu baada ya kutofautiana mambo fulani hivi, saizi ni mwezi wa pili, korodani zangu hazipo na hazionekani kabisa, kupo flaaaat ila mzee anasimama kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dr.wangu naomba kujua madhara ya nguo za ng'ambo a.k.a MITUMBA.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wana jamvi na pia poleni na majukumu ya kila siku. Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara nyingi na nikashindwa kupata majibu ya kujiridhisha kutoka kwa baadhi ya watu kutokana na majibu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
is tongue rolling a genetic trait?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wadau, macho yangu huwa yanawasha nakutoa machozi,kwa anaefahamu tiba yake wanajamvi anisaidie
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua izi mashine zinazo tibu magonjwa mengi ambayo sio ya kuambukiza kwa kupitia uti wa mgongo. Eti zina effect gani mwenye kujua atujuze?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu.jamani naomba msaada.ni hivi nina mtoto wa miaka 12, tatizo lake ni kupatwa na kizunguzungu mara kwa mara .damu anayo yakutosha tu. Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Serikali imesema suala la matumizi ya mafuta ya ubuyu sasa inawaachiwa wananchi wenyewe kutumia ama kuacha. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, alisema hayo jana alipotoa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Back
Top Bottom