Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ninapokuwa nasex huwa nawashwa sana makagari na huwa ya baridi sana,huu ni ugonjwa gani?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Plastic bottle drinks may raise cancer risk in womb (IANS) / 18 June 2013 A US study has suggested expectant women drinking from plastic bottles could be increasing their unborn child's chances...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Baba yangu kila akila ugali wa mahindi anapata KWIKWI aki2mia wa MHOGO hapati.TATIZO NI NINI WAKUU?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu,naomba kuelimishwa kuhusu mafuta ya me&u kama yana madhara yoyote kama vile kubadilisha rangi ya ngozi,au kuharibu ngozi.binafsi sijawahi kuyatumia ila nimetumiwa na rafiki...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo MziziMkavu alipost video ya wapenzi waliokwama baada ya kungonoka. Katika mapitio yangu kujaribu kuelewa swala hili nikang'amua kuwa jambo hili lipo ingawaje ni nadra sana. Kitaalam huu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naongelea madaktari mnaishi kwenye hizi flats hapa nyuma ya kituo cha daladala super star upanga njia ya kwenda muhimbili karibu na hii super market mpya ya ETNS . Nyumba zimezungukwa na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Have breakfast, reduce risk of heart attack. (IANS) / 24 July 2013 Skipping breakfast could make you vulnerable to greater risk of heart attack, US researchers have warned.Health experts have...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Obesity leading to deaths worldwide. (IANS) / 15 July 2013 Obesity has reached epidemic proportions worldwide, with around 2.8 million people dying each year as a result of being overweight or...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Painkiller overdose killing more women (IANS) / 3 July 2013 Deaths due to overdose of prescription painkillers have risen sharply in recent years among women a medical report said.The US Centers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rising stress causing headaches; women more affected (IANS) / 16 July 2013 “I have a splitting headache”. Be it your colleague at work or your spouse at home, this has probably become one of...
2 Reactions
0 Replies
645 Views
Hello wafora! Jamani naomba kuuliza kuna wanawake ukikutana nao kimapenzi ukiingiza tu fimbo ikirudi ni ugali au maziwa meupe ya mgando ndo unarudi nayo. Sasa wapendwa inasababishwa na kutofanya...
1 Reactions
63 Replies
13K Views
Ndugu wanaJF "MKASI NA PAMBA ILIYOKUWA IKIFUTIWA DAMU" VYAKUTWA TUMBONI BAADA YA OPERESHENI YA PILI Kwa mujibu wa mfanyakazi mwenzangu, kuna binti mmoja alijifungua/kuzaa kwa njia ya oparesheni...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
jamani wana jf,hili jambo sasa naona limekuwa tatizo! ndugu yangu wa karibu kwa muda mrefu amekuwa na tabia ya kuongea huku akiwa katika usingizi mzito!yaani anaweza akaongea sentesi nzima kwa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kwa yeyote mwenye matatizo yahusiyo matatizo ya ukimwi wasiliana na mimi dozi ya kwanza nakupatia bure uone nguvu ya dawa zinazofuata utalipia ni dawa iliyothibitishwa na kupewa kibali nitafute...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeamka asubuhi jicho limevimba ghafla na muwasho kwa mbali. Msaada jamani kwa mwenye utaalam tafadhali.
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Wadau,mchumbangu mara nyng Ana Bleed Tarehe 15,na huwa anachukua cku 2 hadi 3 tu,so nifanyeje ili niweze kupata mtoto kwa urahisi? naomba mnifafanulie wataalam.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari madaktari.Usiku nzima mwanangu hajalala furungu zinamuuma.Nikampaka mafuta ya mgando na kummeseji ikatulia kidogo.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo kusafisha mfumo Wa damu kuboresha mfumo wa usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo kuondoa masalia ya UCHAFU wote mwilini. maumivu ya moyo...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Habar wakuu kama Title yangu inavyojieleza nimesikia kuwa kutokana mwanamke ana wayai mawili so naomba kujua baada ya bleeding haya wayai huwa yanaachana kwa mda gani? Au moja mwezi huu na yai...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu. Wenye kujua naomba msaada/ushauri wenu. Ulikua na game ya ugenini, ghafla pah uko uwanjani golini kabisa nyavu na kipa,mpira umepasuka. Na kwa sababu ni game ya ugenini hujui km...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Back
Top Bottom