Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

poleni na majukumu wanaJF kwanza kama hapa sio jukwaa sahihi mods naomba mnisaidie, nimeona kwenye gazeti la nipashe kona ya matangazo madogo madogo kama unatafuta dawa ya kumrudisha mume,mke au...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
naombeni majibu yenu waungwana
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nakumbuka kibaha sec kulikuwa na fungus walikuwa wanashambulia sana korodani hivi jamani bado zipo???
0 Reactions
5 Replies
7K Views
sasa kwa mgonjwa yeyote wa UKIMWI huna haja ya kutaabika wala kupata mawazo yoyote kabisa, utaishi muda mrefu sana kuliko ulivyotegemea NA utakuwa NA afya nzuri kabisa kwani utapata kinga imara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ieleweke kuwa ugonjwa wa ukimwi umekuwa ugonjwa maarufu sana ulimwenguni na hasa nchi zetu za kiafrika na kuonekana kukua kwa kasi sana afrika kuliko nchi za magharibi!unafikiri ni kwanini nchi za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ASILIMIA 48.3 YA WANAUME TANZANIA WAMEBAMBIKIWA WATOTO NA WAKE ZAO Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini imesema karibu nusu ya watu waliojitokeza kupima vinasaba (DNA) ili kubaini uhalali...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
KILA binadamu hutamani kuwa na mwisho mzuri. Hakuna apendaye kupatwa na misukosuko ya kiafya, awe dhaifu hata kushindwa kutoka ndani angalau akajitafutie riziki. Muhidin Maalim Gurumo...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi nna mpenzi wangu ambaye nipo nae kwa muda wa mwaka mmoja sasa, sasa hivi ananiambia kuwa ana mimba yangu. Yeye huwa anaingia period tar 17 na mimi nilikutana naye kimwil tar 14, je hapo kuna...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wajameni uume wangu ni mkubwa na mrefu mno nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi wangu kwa sababu kila ninayembandua lazima amwage chozi la uchungu jamaani nisaidieni ili niweze kupunguza urefu na...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
In a 1981 published case study of one woman, it was reported that stimulation of the anterior vaginal wall made the area grow by fifty percent and that self-reported levels of arousal/orgasm were...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Gräfenberg Spot, often called the G-Spot, is defined as a bean-shaped[1]area of the vagina. Some women report that it is an erogenous zone which, when stimulated, can lead to strong sexual...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Nilipata ajali ya Goti mwaka 2008, kwa bahati nzuri hakukuwa na fracture, ila halijawahi kurecover fully mpaka leo. Nimekuwa nikihudhuria klinik MoI, nikachalpwa MRI lakin hakukonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu! Naomba kufahamu.je kuna uwezekano wa mwanamke akawa ana bleeding katika kila mzunguko wake wa period lakini mayai hayapevuki? Naomba msaada wenu kufahamu hili.
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Eti kuna ukweli wowote juu ya hili, kuwa watu wembamba na wenye miili midogo viungo vyao vya uzazi vinakuwa ni vikubwa zaidi ukilinganisha na watu wanene na wenye miili mikubwa?
1 Reactions
32 Replies
27K Views
natumaini wote ni wazima,nina ndugu anasumbuliwa sana na mcho huwa yanawasha,yanatoa machozi hasa kipindi cha baridi,ninaomba kama kunamtu anamfahamu doctor mzuri wa macho atujuze tukamwone tujue...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila mmoja ana wajibu wa kumlindamwenzake na ugonjwa wa Ukimwi, waajiri tuzingatie kuwapima wafanyakazi VVU Dar es Salaam. Tume ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids) imewataka waajiri nchini kujenga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Hakika splina ni TIBA bora ambayo itaweza kukuondolea matatizo au maradhi mengi katika mwili wako. splina liquid chlorophyll ina mchanganyiko wa zinc, selenium, vitamin E, vitamin C, vitamin...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Salamu wadau, kuna rafiki yangu kaniambia kitunguu swaumu ukipaka kwenye kijipu ambacho hakijaiva basi fasta jibu linaiva na unamalizana nalo....naomba ushauri wadau nisije nikapaka kumbe balaa
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Radio dutch velle ya ujerumani imetangaza kuwa dawa za diclopa na diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu imegundulika vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na ubongo ugonjwa wa moyo...
0 Reactions
17 Replies
19K Views
Back
Top Bottom