Za sa hizi jamani,Mwenzenu nna shida naomba msaada kidogo,ivi kitu gani kitanifanya nirudishe mwili kwa haraka maana hali mbaya nimepukutika ad balaa naombeni msaada wenu kimawazo nifanyeje niweze...
msaada jamani,
hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu makali ktk mguu wa kulia nyuma ya goti, kuna msuri nikikunja mguu basi ni taabu kuinuka , unakuta huo msuri...
Habari zenu ndugu. Nahitaji dawa yakutumia ya kuondoa kitambi chote. Nimejaribu mazoezi ila nakuwa mvivu sasa naombeni msaada kwa mwenye dawa au wanapouzwa na je inaitwaje?? Asanteni!
Habari zenu wakuu,kuna jirani yangu jamani anatatizo la maralia na kila wakati akienda hosptal anapewa dawa au anaandikiwa sindano na anapona kabisa ila utashangaa imepita wiki anaugua tena...
Nasikia maumivu ndani kwenye mrija wa uume wangu sijui tatizo litakuwa ni nini, msiniulize habari za ngono hapana sijawahi fanya hivyo sasa ni miaka 9 bila kutoka nje ya ndoa.
Wana JF habari Zenu!
Ni takribani wiki1 na siku2 tangu nilpo post thread isemayo mficha uchi hazai.Ama kwa hakika ina zidi kunipa morali kauli hii ya mwalimu wangu 'Sisi soote ni wanajamii,na...
jipatie aloe gelly iliyochanganywa kwa virutubisho 200 Kwa matumizi yafuatayo
kusafisha mfumo Wa damu
kuboresha mfumo usagaji chakula
asthma
kisukari
presha
maumivu ya tumbo/ mgongo/kiuno...
Headlim powder ni dawa ya miti shamba yenye kibali kwa ajili ya wenye matatizo ya ukimwi kwa kupandisha cd 4 hadi kuwa katika hali ya kawaida,dozi ya kwanza nakupatia bure ili uone tofauti yake na...
habari wanajamvi.... nawaomba wataalamu wa saikolojia wanisaidie katika hili.
mwaka 2011 nilifukuzwa shule nikiwa kidato cha sita(mwakaleli sec school) kutokana na migomo iliyotokea kwa wakati...
Mtoto wangu ana miezi mitano sasa. Wiki tatu baada ya kuzaliwa kwake alipatwa na tatizo la kushtuka na kutetemeka mguu na mkono upande wa kulia. Alianzishiwa sindano ktk hospitali ya mkoa na...
As Mystery Illness Stalks Its Young, India Intensifies Search for a Killer Kuni Takahashi for The New York Times
Dr. Mohan Kumar checked on a patient at Sri Krishna Medical College...
Is obesity a disease? That's a question that's been debated in the past 10 years, with no clear answer because it's such a complex issue. Is obesity a lifestyle choice that we can change by...
hellow! I hope ya duin gud
here is a presentation of CLEAN 9
Introduction
This easy-to follow 9 day nutritional cleansing programme provides you with all the necessary tools to help you cleanse...
Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio.
Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu...
Kijana mmoja amekutwa akitoa huduma za tiba zinazotolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika zahanati bubu maarufu kwa jina la kwa Docta Kondoliza eneo la Mji mpya Majohe kinyume...
HIZI NDO SABABU ZA MWANAUME/KIJANA KUPOTEZA UWEZO WA KUZAA-KUTOPATA MTOTO
Vijana ambao bado wana mawazo ya kuongeza familia wakati mwingine hushiriki katika tabia fulani hatari si tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.